Umemaliza yoteUkiona mwanamke anakutongoza , jua huyo mwanamke ni kahaba..
Mwanamke wa kweli hakutongozi ila akikuelewa atakurahisishia mazingira ya wewe mwanaume kumtongoza..
Na usipo mtongoza atakudharau sana moyoni mwake
Unachekesha wanaume wa maharage ya mbeya hayo mkuuu aka weak menHamna mwanaume anachomoa tongozo la kike hata kama unatania tu
MwambrrrrrrrriiiiiiiiiiieeeeeeeUnachekesha wanaume wa maharage ya mbeya hayo mkuuu aka weak men
Usi generalize wote [emoji28][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28]Mbona mm sitongozwi ,hizo bahati mnapata nyie tu
Jamani mbona unamtisha hivo..ndomu 3 [emoji28]ukweli mchungu ni kwamba, demu yeyote anayefunguka wazi kwa ME ni malaya aliyekubuhu, ukikubali ombi vaa ndom 3 utanishukuru
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] naona tuna vinasaba vinavyofanana
Hakuna mzee mwenye experience mbovu kama hiyo, nyani mzee anamakovu mengi.Mi Mzee wewe,..Acha uboya!!!
Nimetongozwa shule ya msingi nika kataa, nika tongozwa chuo nika kataa, nimetongozwa kwenye mishe nimekubali, wanajua kulipigania penzi sana wanaotutongoza wanaume anyway mmojaHakuna mzee mwenye experience mbovu kama hiyo, nyani mzee anamakovu mengi.
Umeolewa?Nimetongozwa shule ya msingi nika kataa, nika tongozwa chuo nika kataa, nimetongozwa kwenye mishe nimekubali, wanajua kulipigania penzi sana wanaotutongoza wanaume anyway mmoja
baada ya kunitongoza na kumkubali aliniwekea bili ya mtori hotelini, mwingine alikuwa ndie mlipaji alinilipa extra,
Mwingine ni pancha,
Alikuwa mufilisi.
Ndio maana nikasema wewe ni mvulana, huna experience yeyote, huko wazee tulisha pita, anyway unaweza kuwa mzee namba za miaka ila huku kwingine [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umeolewa?
Naona kama unataka kunitongoza [emoji23]Ndio maana nikasema wewe ni mvulana, huna experience yeyote, huko wazee tulisha pita, anyway unaweza kuwa mzee namba za miaka ila huku kwingine [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
unamwaga kuku kwenye mchele wengi π€£π₯π₯
Jaribu kwangu tuoneRaha sana kutongoza mwanaume. Halafu wenyewe hata hawakatai... Maharage ya Mbeya maji mara moja tu
Nilishakutongozaga wewe sema umesahauJaribu kwangu tuone