Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Ukiona mwanamke anakutongoza , jua huyo mwanamke ni kahaba..

Mwanamke wa kweli hakutongozi ila akikuelewa atakurahisishia mazingira ya wewe mwanaume kumtongoza..

Na usipo mtongoza atakudharau sana moyoni mwake
Umemaliza yote
 
😂

Hivi mwanamke kukaa muda wote anakuangalia tu na kukukodolea macho kodo muda wote ni dalili ya nini?
 
Hakuna mzee mwenye experience mbovu kama hiyo, nyani mzee anamakovu mengi.
Nimetongozwa shule ya msingi nika kataa, nika tongozwa chuo nika kataa, nimetongozwa kwenye mishe nimekubali, wanajua kulipigania penzi sana wanaotutongoza wanaume anyway mmoja
baada ya kunitongoza na kumkubali aliniwekea bili ya mtori hotelini, mwingine alikuwa ndie mlipaji alinilipa extra,
Mwingine ni pancha,
Alikuwa mufilisi.
 
Umeolewa?
 
Ndio maana nikasema wewe ni mvulana, huna experience yeyote, huko wazee tulisha pita, anyway unaweza kuwa mzee namba za miaka ila huku kwingine [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naona kama unataka kunitongoza [emoji23]
 
Back
Top Bottom