Hii Imekaaje Wapendwa

Hii Imekaaje Wapendwa

Jamani kuna vitu hutokea katika maisha ambavyo hata nyie mukiulizana hampati jibu.
Kama ulivyosema hawa hawakugombana. Kuachana kwao ilikuwaje. Walipotezana? Mawasiliano hayakuwepo. Mimi namfahamu jamaa mmoja alikuwa na GF wake tangu wakiwa form 1 wakapotezana walipomaliza form 4. Siku moja jamaa anakatiza mitaa ya DSM wakati wa likizo akakutana na wake wa zamani wakarudiana tena. Miaka ikakatika mara wakatenganishwa na jeshi, bibie songea braza bulombora. Kumaliza JKT tu wakakutana wakijiandaa na vyuo. Kiutani wakaleta kiumbe duniani. Ikabidi mvulana atangulie chuo maana bibie analea mimba. Kapata chuo urusi. Miezi tisa kwisha wakawa na mtoto wa kike. Jamaa huko urusi anasikia kuwa mwana kaja! Miaka ikakatika bibie naye kaenda pale mlimani. Man si unajua tena mambo ya Russia tena miaka 7 sio mchezo. Kurudi kakuta demu keshaokomea kwa met pale mlimani. Haikuwa taabu wala hawakukasirikiana. Bahati mbaya sana yule jamaa wa mlimani aliyechukua demu jumla hakumpenda yule binti wa jamaa. Wakamtafuta wakampa mtoto wake. Jamaa aliyeenda kusoma Urusi hakuoa kamwe. Kwa kuwa hakuwa na mke ikabidi ampeleke mtoto boarding school. Miaka kadhaa baadae muoaji kapata ajali na kufariki. Bibie ana watoto 3 wa kiume. Muda ukapita! Mara akaamtafuta jamaa na kufanikiwa kumpata huko Katesh- Babati. Jamaa mkulima lakini maisha yake bomba sana. Sasa mama wa yule binti akawa anamtembelea kwa kigezo cha kumuona mtoto. Siku hazigandi, historia ikajirudia wkakuta wanalala kitanda kimoja na safari hii kapata mtoto wa kiume. Makubaliano yakafikiwa! Bibie aliporudi Dar akafungasha mpaka watoto wa marehemu mumewe wakahamia Katesh. Amini usiamini HUWEZI HATA KUJUA YUPI NI MTOTO WAKE NA YUPI SI WA KWAKE. Wanaishi kwa raha mno.
Hakuna kitu kama matapishi hapa ila pia MAVI YA KALE HAYANUKI!
 
Ryt here smiles..let's go..we gona have a lot of fun
4get about Pope!

Forgotten.......
Na 'thanx nimekugongea......

The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

Smiles (Today)​
 
Hiyo poa tu manake binti miaka yote hiyo alikuwa anasubiri hiyo opportunity...sound like a rare chance though.
 
nadhani bora warudiane. jamaa kananikiwa kupata watoto 3 na wanamke yeye kachakachuwa miaka yote hiyo unaweza kuta hazai tena. kuna wanawake wanazuia mimba hadi kizazi kinafanya strike!
 
ahh jaman ebu pumzika kdg kucheza basi uchoki...?:smile-big:mimi ntapumzika pia kukonyeee..manake najua ungenishushua tu apo mbona we upumzik kukonyeeeeeeee


bora umenisemea kabla sijaandika
 
Back
Top Bottom