Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
Mimi sikuona sign yoyote na huyu muaandaaji wala hakuwa karibu kabisa na meza kuu yeye alikuwa busy na vyakula na vinywaji kwa wageni huyu mama mwingine ndo alikuwa anahudumia meza kuu. May be mume wake hakumwambia aliyeandaa?? Sikuuliza sana maana unaweza kuambiwa umbea bure ukaharibu na sherehe za watu. ila mimi nilipata msituko kidogo haaa
Atakuwa alifichwa huyo bidada, wanawake na sie tuna viherehere wewe bday ya mume wa mwenzio unaivalia njuga namna hiyo.basi atakuwa mke hajui. mwisho wake iliisha salama?