Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

Ushauli mzuri
 
Wacha utani kaka !!uko mkoa gani ? Kwa dar kama ni kweli nyumba 11 basi utashika pesa ndefu Kuna vyumba na sebule kawaida mtu analipa 150k kama kinaweza kuwa na choo tu au jiko kimoja wapo

Ila vyumba viwili kwa kweli si chini ya 300k mpaka 400k Tena kigamboni .Kuna mazingira unaweza kulipa mpaka 450k


Sasa chukua tu 300k x 11 = 3,300,000 monthly kwa wote sasa piga kwa mwaka
 
Asante kwa kunifungua akili (akili ilikua imefugwa)
 
Kama una uhakika ukijenga nyumba 11 zote zitapata wapangaji ni bora ujenge kuliko kutamani biashara yenye return kubwa mwisho wa siku mtaji ukapotea wote.
Nimekuelewa ndg
 
Kwa dar hauwez kwa Pesa hiyo Kujenga hizo nyumba 11 KIWANJA kwanza ukiweka material na ufundi kwa 30m haitoshi.naongelea kwa habari ya mkoani ahsante
 
Nikweli ndg
 
Kwa tathimini tulioifanya 30m inajenga nyumba 1,ila ni nje ya gharama ya kiwanja.nashukuru pia kwa mawazo yako nayachakata pia ahsante
 
Safi
 
Biashara ya real estate yenye kurudisha hela mapema ni ile ya Lodge, ukupiga vyumba 12 (at prime location) ambavyo watu watalipia 35K-40K per night, kisha upate msimamizi muaminifu hela huwa inarudi Chap.
Ahsante kwa ushauri ndg
 
mimi nikitaka kuweka hilo wazo basi siaangali short term naangalia na mbali. hata watoto wangu watulie level inayo staili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…