Hii imekaaje watu wa mitazamo ya mbali, uwekeze Mil. 330,000,000 upate Mil. 27,500,000 kwa mwaka?

Hawawezi kukuelewa wanadhani ukishajenga ni kupokea Kodi tu.

Trump yule pale ana ma real estate Kila kona ndio mchezo yao.

Familia yake na vizazi vyake hawatakuwa kuwa na shida ya Hela Wala ajira.

Nyumba unayojenga Sasa value yake haiwezi Baki hivyo miaka yote ya kubreakeven capital.

Wala Kodi pia haitobaki hivyo hivyo

Nyumba zinapanda Bei na Kodi zinapanda juu Kila siku Kuna inflation.

As long as you know how to deal with inflation real estate ni smart investment ni real deal

Wanaoponda humu hawajui

Halafu hizi mambo Zina buy your working time na kufanya uwe free kwenye mitakisi kadha wa kadha.
Ushauli mzuri
 
Wacha utani kaka !!uko mkoa gani ? Kwa dar kama ni kweli nyumba 11 basi utashika pesa ndefu Kuna vyumba na sebule kawaida mtu analipa 150k kama kinaweza kuwa na choo tu au jiko kimoja wapo

Ila vyumba viwili kwa kweli si chini ya 300k mpaka 400k Tena kigamboni .Kuna mazingira unaweza kulipa mpaka 450k

Sasa chukua tu 300k x 11 = 3,300,000 monthly kwa wote sasa piga kwa mwaka
 
Mkuu mie nakushauri usirudi nyuma narudia Tena usirudi nyuma narudia Tena usirudi nyuma kwa sababu zifuatazo:
1-risk Ni ndogo
2- hakuna kushuka thamani ya bidhaa yako i.e Iyo nyumba ukisema uje kuuza after 10yrs utaweza uza like 600M.
3- both mental and financial capital ziko salama mno hakuna usumbufu na watu ama wafanyakazi otherwise like ukinunua coaster ama hiace ama bizness ingine.
4- unaweza ukazichukulia mkopo wa kujenge zingine tano Sasa ukawa na nyumba 15 so zote hizo 15 zikawa zinatumika kulipa mkopo. You've to leverage with others money, time, and all resources ili usonge mbele.
Sasa unazo 15 kwa 3m kwa mwaka unazo 45M Kama umechukua mkopo wa 160M utaulipwa nadhani ndani ya 5yrs umemaliza mkopo wao mkuu.

Baada ya hapo unachukua Tena mkopo wa nyumba 10 ambao Ni 350M unajenga zingine 10 jumla una nyumba 25 so kwa mwaka 75 Ni ndani ya miaka mitano unamaliza mkopo wao, yaani unaendelea ivyo ivyo mkuu kikubwa discipline ndio kila kitu. Fungua akaunti kwa ajili ya huo mradi yaani hela ya Kodi ya nyumba usiishike ikiwekwa huko benki wanachukua Chao ama ufungue loji uweke CCTV kamera uwe unazifuatilia japo zinahitaji close monitoring.

5- hakuna Cha economic crisis i.e inflation kwako ujue.
6- urithi mzuri kwa kizazi chako kwa baadaye na unaweza ukawa na real estate business ya uhakika baadaye ukaifnaya ikawa ama ukaisajili na abnb kwa ajili ya kupata wateja wa nje.

Naomba usirudi nyumba. Wekeza kwa basic needs za binadamu like houses aka shelter ,foods iwe isiwe lazima watu watakula ama watalala hakuna ku spare hizo basics.

Yangu Ni hayo mkuu.

Waza for 30 yrs to come utakuwa mbali mno yaani Ile uko like 60/70s wenzako wanakutamania mno yaani mno.

Yaani utashangaa unakuwa na jina na unapewa uenyekiti ccm mkoa ama wilaya Mara mbunge,kumbuka like attracts likes.
Hapo ndipo utachukua mkopo wa bilioni plus na kushusha vitu vyako kila mji mkubwa hapa tz.

Nakuombea uendelee ivyo ivyo yaani uwe litajiri ili utoe ugali kwa vijana wengi mno mtaani.

Vijana wangekuwa waaaminifu ningekuambia agiza boda zako like 150, halafu wape vijana kila boda now mktaba halafu usiwe na tamaa wewe waambie kuwa unahitaji profit ya laki sita kila boda hizi unaagiza direct from China. So kwa hizo boda zako 150*.6 unazo 90M kwa mwaka ukifanya like 10 yrs you're untouchable sema Sasa sie wazembe tunapenda kula asali pasipo kung'atwa na nyuki ujue.
Ama tunawaza kuiba ,na ndio Mana afrika matajiri Ni wachache ambao sio politicians or sio wezi ama wa magendo
Asante kwa kunifungua akili (akili ilikua imefugwa)
 
Kama una uhakika ukijenga nyumba 11 zote zitapata wapangaji ni bora ujenge kuliko kutamani biashara yenye return kubwa mwisho wa siku mtaji ukapotea wote.
Nimekuelewa ndg
 
Wacha utani kaka !!uko mkoa gani ? Kwa dar kama ni kweli nyumba 11 basi utashika pesa ndefu Kuna vyumba na sebule kawaida mtu analipa 150k kama kinaweza kuwa na choo tu au jiko kimoja wapo

Ila vyumba viwili kwa kweli si chini ya 300k mpaka 400k Tena kigamboni .Kuna mazingira unaweza kulipa mpaka 450k

Sasa chukua tu 300k x 11 = 3,300,000 monthly kwa wote sasa piga kwa mwaka
Kwa dar hauwez kwa Pesa hiyo Kujenga hizo nyumba 11 KIWANJA kwanza ukiweka material na ufundi kwa 30m haitoshi.naongelea kwa habari ya mkoani ahsante
 
Fuata Misingi ifuatayo katika Real Estate na Hautojuta....

Other People's Money.....

Property Ladder..., Kwamba ni ngazi na utapanda pole pole unajenga moja watu wanapanga unapata kodi na kutumia hio kama collateral unajenga nyingine and on and on and on.....; Tatizo House being the safety investment sio kama zamani unaweza ukajenga usipate wapangaji au ukapata wakaharibu (especially Bongo watu sio wastaarabu unaweza kutoa ugonjwa wa moyo badala ya Pesa)
Nikweli ndg
 
1: Hiyo pesa haiwezi kujenga nyumba 11.
2: mawazo yako yamelenga kuzuri sana, umefikiri vyema, sasa..
3: Nunua viwanja vilivyopo sehem nzuri ambazo zinakua, jenga nyumba kwenye baadhi ya viwanja
usisahau kuvitafutia hati ili viwe na thamani
4: Usinunue nyumba, narudia tena usinunue nyumba
5: Hii ndio biashara pekee itakayotunza pesa yako sababu utaweza kuisimamia taratibu.
6: Kuwasimamia wabongo ni kazi sana, usiingize hii pesa kwenye biashara usioijua
namba hazina umuhimu sana, nilitaka kulist tu
Kwa tathimini tulioifanya 30m inajenga nyumba 1,ila ni nje ya gharama ya kiwanja.nashukuru pia kwa mawazo yako nayachakata pia ahsante
 
Mkuu mie nakushauri usirudi nyuma narudia Tena usirudi nyuma narudia Tena usirudi nyuma kwa sababu zifuatazo:
1-risk Ni ndogo
2- hakuna kushuka thamani ya bidhaa yako i.e Iyo nyumba ukisema uje kuuza after 10yrs utaweza uza like 600M.
3- both mental and financial capital ziko salama mno hakuna usumbufu na watu ama wafanyakazi otherwise like ukinunua coaster ama hiace ama bizness ingine.
4- unaweza ukazichukulia mkopo wa kujenge zingine tano Sasa ukawa na nyumba 15 so zote hizo 15 zikawa zinatumika kulipa mkopo. You've to leverage with others money, time, and all resources ili usonge mbele.
Sasa unazo 15 kwa 3m kwa mwaka unazo 45M Kama umechukua mkopo wa 160M utaulipwa nadhani ndani ya 5yrs umemaliza mkopo wao mkuu.

Baada ya hapo unachukua Tena mkopo wa nyumba 10 ambao Ni 350M unajenga zingine 10 jumla una nyumba 25 so kwa mwaka 75 Ni ndani ya miaka mitano unamaliza mkopo wao, yaani unaendelea ivyo ivyo mkuu kikubwa discipline ndio kila kitu. Fungua akaunti kwa ajili ya huo mradi yaani hela ya Kodi ya nyumba usiishike ikiwekwa huko benki wanachukua Chao ama ufungue loji uweke CCTV kamera uwe unazifuatilia japo zinahitaji close monitoring.

5- hakuna Cha economic crisis i.e inflation kwako ujue.
6- urithi mzuri kwa kizazi chako kwa baadaye na unaweza ukawa na real estate business ya uhakika baadaye ukaifnaya ikawa ama ukaisajili na abnb kwa ajili ya kupata wateja wa nje.

Naomba usirudi nyumba. Wekeza kwa basic needs za binadamu like houses aka shelter ,foods iwe isiwe lazima watu watakula ama watalala hakuna ku spare hizo basics.

Yangu Ni hayo mkuu.

Waza for 30 yrs to come utakuwa mbali mno yaani Ile uko like 60/70s wenzako wanakutamania mno yaani mno.

Yaani utashangaa unakuwa na jina na unapewa uenyekiti ccm mkoa ama wilaya Mara mbunge,kumbuka like attracts likes.
Hapo ndipo utachukua mkopo wa bilioni plus na kushusha vitu vyako kila mji mkubwa hapa tz.

Nakuombea uendelee ivyo ivyo yaani uwe litajiri ili utoe ugali kwa vijana wengi mno mtaani.

Vijana wangekuwa waaaminifu ningekuambia agiza boda zako like 150, halafu wape vijana kila boda now mktaba halafu usiwe na tamaa wewe waambie kuwa unahitaji profit ya laki sita kila boda hizi unaagiza direct from China. So kwa hizo boda zako 150*.6 unazo 90M kwa mwaka ukifanya like 10 yrs you're untouchable sema Sasa sie wazembe tunapenda kula asali pasipo kung'atwa na nyuki ujue.
Ama tunawaza kuiba ,na ndio Mana afrika matajiri Ni wachache ambao sio politicians or sio wezi ama wa magendo
Safi
 
Biashara ya real estate yenye kurudisha hela mapema ni ile ya Lodge, ukupiga vyumba 12 (at prime location) ambavyo watu watalipia 35K-40K per night, kisha upate msimamizi muaminifu hela huwa inarudi Chap.
Ahsante kwa ushauri ndg
 
mimi nikitaka kuweka hilo wazo basi siaangali short term naangalia na mbali. hata watoto wangu watulie level inayo staili
 
Back
Top Bottom