Hii imekaaje, watu wameanza kuwazia uchaguzi 2030

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
704
Reaction score
905
Habari wakuu

Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.

Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda haraka hata walau kesho ili upishi.
 
Kwanza rudi huko ulipo.2023.Nilidhani ni typing error kwenye headline nikashangaa umerudia tena 2023 kwenye habari yenyewe.Unakimbizwa?
 
Tambua hili katika sayansi ya siasa tunasema KUKAMILIKA KWA UCHAGUZI ULIOPO NDIYO MWANZO WA WA MAANDALIZI WA UCHAGUZI UJAO

Hivyo n vema kuanza mapema.huwez jua mpinzan wako anajiandaa vipi

Sion shida kwan hawavunji katiba
 
Mbinu za kutoa watu kwenye reri ya yaliyotokea nov,29 ili waanze mijadala ya 2030
 
Habari wakuu

Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.

Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda haraka hata walau kesho ili upishi.
Ndio akili zao, matako yao. Naona Makonda kampa makavu Mwigulu
 
Habari wakuu

Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.

Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda haraka hata walau kesho ili upishi.
Wala sio jambo jipya,kila mwanzo wa mwisho wa awamu mambo haya hutokea.
 
Habari wakuu

Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.

Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda haraka hata walau kesho ili upishi.
Inamaanisha aliyepo ofisini ni bonge la "liability"
 
Habari wakuu

Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.

Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda haraka hata walau kesho ili upishi.
Katika hizo mbio iwapo Mzee wa Gombe hahupo hizo mbio hazina maana na ni ubatili mtupu!
 
Back
Top Bottom