Ooh sawa mkuuFasihi
Hata mm sijaona wala sijasikia.Mbona me sijaona kiongozi hata mmoja kuonyesha nia
Ndio akili zao, matako yao. Naona Makonda kampa makavu MwiguluHabari wakuu
Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.
Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda haraka hata walau kesho ili upishi.
Wala sio jambo jipya,kila mwanzo wa mwisho wa awamu mambo haya hutokea.Habari wakuu
Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.
Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda haraka hata walau kesho ili upishi.
Inamaanisha aliyepo ofisini ni bonge la "liability"Habari wakuu
Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.
Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda haraka hata walau kesho ili upishi.
Katika hizo mbio iwapo Mzee wa Gombe hahupo hizo mbio hazina maana na ni ubatili mtupu!Habari wakuu
Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.
Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda haraka hata walau kesho ili upishi.
Hii code unakuja inakata legeza kidogoKatika hizo mbio iwapo Mzee wa Gombe hahupo hizo mbio hazina maana na ni ubatili mtupu!