Hii imekaaje wazee

Hii imekaaje wazee

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow african

Wewe tuchukulie ni mzazi una muomba mwanao hela kuna ndugu yenu kafariki unamuuomba hela ya kuchangia kwenye msiba umeongea na mwanao wakiume akakubali vizuri baada ya nusu saa mkweo anakupigia simu anakuambia kuwa hakuna hela kama hakuna ulazima wa kuchangia usichangia wewe utamchukuliaje huyu mkweo?
 
Huna akili, mambo ya mzazi wako yanamuhusu vipi mkeo?

Yani mmetawaliwa na wanawake kiasi kwamba hakuna kitu unaweza kufanya bila kumshirikisha mke wako?

Huu ni upumbavu na ukemewe kwa nguvu zote, hakuna replacement ya mzazi, tena ficha ujinga wako huu utachekwa, wewe unaweza kumjibu mzazi wake hivyo?
 
Mkuu sio mimi mimi siwez kubali uho ujinga ni mshikaji wangu wa karibu sana ndio yamemkuta
 
Mbona swali la jamaa hata halikustahili majibu ya kejeli hivi? #MentalIllness is real aisee
 
Mkuu sio mimi mimi siwez kubali uho ujinga ni mshikaji wangu wa karibu sana ndio yamemkuta
Ina maana mke wake ndiye kichwa cha nyumba. Ina maana hawezi kufanya chochote bila kumshirikisha na kupata ruhusa kutoka kwa mkewe. Ina maana mke wake anamdharau sana ndiyo maana akachukuwa jukumu la kumjibu mkwe wake badala ya kumwambia mume wake amjibu. Huyo jamaa yako ni bwege. Sikilizeni nyie vijana mliolelewa kwa mayai chips: Mwanamme jambo dogo kama hili tena linakuhusu wewe na mzazi wako wala huuulizi au kuomba ushauri kutoka kwa mkeo. Anakuja kusikia baadae kuwa kumbe ulimchangia mzazi wako.
 
Mimi mama yake alipo niambia niliwaza je mke mama yake akiomba msaada kwa mwanae yeye anaweza jibu ivyo au uyo mke hatoi msaada kwa wazazi wake?

Mama amekuwa akimlalamikia sana mwanae mshikaji mpaka umseme sana ndio anatoa msaada kwa mzazi
 
Hii ni fedheha asee.. uyo mke bado yuko Hai ? Hana ata majeraha hadi saivi ?
Mda mwingine busara inaitajika ndio maana watu wanasema mapenzi yana nguvu angalie na wake wa kuoa ndugu wa mume walimkata huyo mwanamke kitambo sana mwanamke anavaa kikukuuu amechora tatuu mwanamke anajikoboa wazazi waliona ishara mbaya wakagoma mke akaamua amebebe mimba kwa makusudi
 
Back
Top Bottom