Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Sawa Mkuu!Hapo ni kwako mueleweshe taratibu na misingi ya kufata akiwa hapo, Kama hataki aondoke.
Mfano mimi siruhusu mtu kuvuta sigara ndani.
.kupiga mziki kwa sauti ya juu.
. Kulewa Kisha kuleta vurugu.
Kweli kabisa huyu Simba na Yanga, huyu ada ya shule!Mnakuwa hamuelewani mnakuwa kama mko kwenye mashindano😆
Yaani ni kero kwa kweli!Kama kuna subwoofer pembeni nitaluwasha kisha nitatoka nje.
Kweli mkuu!La hasha! huo siyo uungwana
Tunafanyaje Sasa!Unadhani hawajui kama sio ustaarabu?
Ushapanda basi moja na wamasai?Tabia za wasukuma hizo, hadi kwenye basi ni wapiga kelele
"yaani gete nakwampia nale mu basi halafu lina TV yaani mbaka raha.."
Tunawapotezea Tu! Huwezi kushindana na mjinga!Tunafanyaje Sasa!
Yeah tena wanawakeUshapanda basi moja na wamasai?
Hakika inakera sana Kuna watu ustaarabu hawana kabisaHabari wanaJF
Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu.
Mara ghafla na yeye anapokea simu na kuweka sauti(Loud speaker)anaanza kuongea hapo hapo !Unakuwa vulugu kama vile mko vilabu vya pombe za kienyeji,wewe unaongea na simu yako na yeye yupo hapo hapo anabwabwaja!
Si atoke nje,maana kakukuta unaongea na simu Huu sio ustaarabu hata kidogo.Kama tumo humu ,tuache haipendezi.