Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Habari wanaJF
Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu.
Mara ghafla na yeye anapokea simu na kuweka sauti(Loud speaker)anaanza kuongea hapo hapo! Unakuwa vulugu kama vile mko vilabu vya pombe za kienyeji, wewe unaongea na simu yako na yeye yupo hapo hapo anabwabwaja!
Si atoke nje, maana kakukuta unaongea na simu Huu sio ustaarabu hata kidogo.Kama tumo humu, tuache haipendezi.