Hii imekaaje?

Hii imekaaje?

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Habari wanaJF

Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu.

Mara ghafla na yeye anapokea simu na kuweka sauti(Loud speaker)anaanza kuongea hapo hapo! Unakuwa vulugu kama vile mko vilabu vya pombe za kienyeji, wewe unaongea na simu yako na yeye yupo hapo hapo anabwabwaja!

Si atoke nje, maana kakukuta unaongea na simu Huu sio ustaarabu hata kidogo.Kama tumo humu, tuache haipendezi.
 
Habari wanaJF

Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu.

Mara ghafla na yeye anapokea simu na kuweka sauti(Loud speaker)anaanza kuongea hapo hapo !Unakuwa vulugu kama vile mko vilabu vya pombe za kienyeji,wewe unaongea na simu yako na yeye yupo hapo hapo anabwabwaja!

Si atoke nje,maana kakukuta unaongea na simu Huu sio ustaarabu hata kidogo.Kama tumo humu ,tuache haipendezi.
Hakika inakera sana Kuna watu ustaarabu hawana kabisa
 
Back
Top Bottom