Hii imenifanya nitumie muda mwingi kujitizama kwenye kioo! Naweza kumtenga?

Hii imenifanya nitumie muda mwingi kujitizama kwenye kioo! Naweza kumtenga?

Nina huyo Dada yangu,hajawahi kunisifia

Kila atakaponiona ataniambia sijapendeza,nimenenepeana sana nimekua kama kiroba.
Unazeeka,umekua m,bovu
Na hata tukiongozana barabaran hunifananisha na watu,hunionyesha mtu....yaaani umemuona yuleeee
Ndo yupo kama wew,

Hii imenifanya nitumie muda mwingi kujitizama kwenye kioo

Jana nimekutana naye tena, ameniona nikiwa na cm nyingine hii siyo mpya nimepewa tu na boyfriend wangu

Kwakua cm yangu haikufaa iliharibika sana,

Bas akaniambia heee umenunua cm,umejitahd,,,,NIKAMWAMBIA sijanunua nimepewa na boyfriend wangu

Akaanza, heee mwanamke mzima unapewa cm mbovu?

Mwanaume anakupaje cm mbovu kama hiyo, loooh haoni aibu.

Haikushika cm,aliiyona tu ikiwa kwangu...nilishangaa ubovu kaona wapi ? Mbona mimi naiyona ni nzima na nzuri na inafaa ni samsungA70 sijuh

Sasa huyu ni Dada yangu nampenda sana.....mbaya zaidi kamwambia mtoto wake WA kiume asiwe anawasiliana na mimi kwasababu mimi siyo mtu mwema.

Huyu mtoto wake,alinitafuta na kunieleza vile mama yake kamwambia.

Jaman huyu ni Dada yangu yupo around 43 years na mimi ni mkubwa ila ni mdogo sana kwake,

Mimi nampenda sana,naumia kuyaona haya....

Nachagua kijitenga naye, najua hili litamuuza sana mama........

Huyu ni Dada yangu,ila hatujashare chochote,

Mama yake amenilea mimi kwasababu ni mama yangu yaani ni mke WA baba yangu.

Nampenda sana huyu mama.yake,Kwasababu amenipenda sanaaa mimi amenilelea mimi tangu nipo mchanga mpaka leo nimekua Dada.

Naweza kumtenga huyu Dada yangu ???

Sasa nitaishi mwenyewe kama mkiwa daah

Wakinieleza tatizo nawasaidia...huwa natoa hata kile cha mwisho nilichobakiwa nacho....

Niliuza kitu changu ili ipatikane pesa kwaajili ya (kuhonga) kumpa mtu ili amuunganishe na kazi huyu mtoto wake na ilifanikiwa....

Ni vingi nimefanyaaaaa, basi hata aone nampenda kumjali mama natumia pesa ninazozipata kwa taabu kumfanya mama afurahie hatakama Sina.....
Mpende mama ako na hyo mtoto wa dada ako. Punguza ukaribu na dada yko. Pia kuwa msiri kwenye mambo yko. Mwisho sisi Gentleman tunapenda wanawake wanene na wenye shape. Gentleman eat fresh not Bones
 
Huyo dada yako ana wivu na wewe katika mafanikio yako. Alitaka uwe mtu wa Shida shida. Cha kufanya acha kuonyesha wala kuelezea mafanikio yako. Usiri utakusaidia sana. Lakini mkwepe pia.
 
Nina huyo Dada yangu, hajawahi kunisifia.

Kila atakaponiona ataniambia sijapendeza, nimenenepeana sana nimekuwa kama kiroba.
Unazeeka, umekua mbovu. Na hata tukiongozana barabarani hunifananisha na watu, hunionyesha mtu....yaaani umemuona yuleeee Ndo yupo kama wewe

Hii imenifanya nitumie muda mwingi kujitizama kwenye kioo

Jana nimekutana naye tena, ameniona nikiwa na simu nyingine hii siyo mpya nimepewa tu na boyfriend wangu.

Kwakuwa simu yangu haikufaa iliharibika sana,

Basi akaniambia heee umenunua simu, umejitahidi, NIKAMWAMBIA sijanunua nimepewa na boyfriend wangu

Akaanza, heee mwanamke mzima unapewa simu mbovu?

Mwanaume anakupaje simu mbovu kama hiyo, loooh haoni aibu.

Haikushika simu, aliiyona tu ikiwa kwangu...nilishangaa ubovu kaona wapi? Mbona mimi naiona ni nzima na nzuri na inafaa ni samsungA70 sijuh

Sasa huyu ni Dada yangu nampenda sana.....mbaya zaidi kamwambia mtoto wake WA kiume asiwe anawasiliana na mimi kwasababu mimi siyo mtu mwema.

Huyu mtoto wake, alinitafuta na kunieleza vile mama yake kamwambia.

Jaman huyu ni Dada yangu yupo around 43 years na mimi ni mkubwa ila ni mdogo sana kwake,

Mimi nampenda sana, naumia kuyaona haya....

Nachagua kujitenga naye, najua hili litamuuza sana mama........

Huyu ni Dada yangu ila hatujashare chochote,

Mama yake amenilea mimi kwasababu ni mama yangu yaani ni mke WA baba yangu.

Nampenda sana huyu mama yake kwasababu amenipenda sanaaa mimi amenilea mimi tangu nipo mchanga mpaka leo nimekua Dada.

Naweza kumtenga huyu Dada yangu???

Sasa nitaishi mwenyewe kama mkiwa daah

Wakinieleza tatizo nawasaidia...huwa natoa hata kile cha mwisho nilichobakiwa nacho....

Niliuza kitu changu ili ipatikane pesa kwaajili ya (kuhonga) kumpa mtu ili amuunganishe na kazi huyu mtoto wake na ilifanikiwa....

Ni vingi nimefanyaaaaa, basi hata aone nampenda kumjali mama natumia pesa ninazozipata kwa taabu kumfanya mama afurahie hatakama Sina.....
Kuna watu unapaswa kuwa nao karibu wenye upendo wa kweli(mfano wazazi, familia).
kuna watu unapaswa kuwa nao mbali ila mkaendeleza mahusiano.
Na kuna watu hupaswi kuwa na mahusiano nao ILA hupaswi kuwachukia kwa namna yeyote ile ili usiwape nguvu ya kutawala maisha yako.

Ukiijua tofauti utajua kundi la kumuweka huyo ndugu yako.

Ukitaka kuishi maisha yenye amani kaa mbali na toxic people.
 
Mama yake amenilea mimi kwasababu ni mama yangu yaani ni mke WA baba yangu.

Nampenda sana huyu mama.yake,Kwasababu amenipenda sanaaa mimi amenilelea mimi tangu nipo mchanga mpaka
Kwakifupi nikwamba anajua una mzidi kilakitu

Na ndio maana anatumia udhaifu wako wakuamini anacho kuambia kuwa ni kweli kwasababu wewe upo hivyo

Ukiambiwa wewe nimbaya una Amini hivyo

Ukiambiwa huna shape una Amini hivyo

Sasa ukitaka kumwelewa maneno yake yatafsiri nyuma mbele

kwamfano.

akikuambia wewe nimweusi Sana Basi elewa anamaanisha wewe ni mweupe Sana

Akikuambia huja pendeza kabisaa Basi Ana Manisha ume pendeza Sana leo

utauona uzuri na uthamani wako unao mzidi yeye
 
Huyo dada yako ana wivu na wewe katika mafanikio yako. Alitaka uwe mtu wa Shida shida. Cha kufanya acha kuonyesha wala kuelezea mafanikio yako. Usiri utakusaidia sana. Lakini mkwepe pia.
Hili tatizo wanalo wanawake wengi, na naona linawakumba wanaume pia..kuelezea mambo yako kwa kila mtu. Hakuna kitu kibaya kwa dunia ya sasa kama ku-share mafanikio yako, hustles zako na baadhi ya watu. Most of us tuko toxic sana. Sisi wengine tuko so reserved...
 
Nitumie picha yako nione tatizo liko wapi.

Inawezekana anakuonea wivu tu , kuwa kibonge siyo ubaya mbona vibonge wengi ndo warembo, usivae tu nguo zinazokubana bana vaa kiheshima unakua poa kinoma.
 
Back
Top Bottom