Hii imenifanya nitumie muda mwingi kujitizama kwenye kioo! Naweza kumtenga?

Mpende mama ako na hyo mtoto wa dada ako. Punguza ukaribu na dada yko. Pia kuwa msiri kwenye mambo yko. Mwisho sisi Gentleman tunapenda wanawake wanene na wenye shape. Gentleman eat fresh not Bones
 
Huyo dada yako ana wivu na wewe katika mafanikio yako. Alitaka uwe mtu wa Shida shida. Cha kufanya acha kuonyesha wala kuelezea mafanikio yako. Usiri utakusaidia sana. Lakini mkwepe pia.
 
Kuna watu unapaswa kuwa nao karibu wenye upendo wa kweli(mfano wazazi, familia).
kuna watu unapaswa kuwa nao mbali ila mkaendeleza mahusiano.
Na kuna watu hupaswi kuwa na mahusiano nao ILA hupaswi kuwachukia kwa namna yeyote ile ili usiwape nguvu ya kutawala maisha yako.

Ukiijua tofauti utajua kundi la kumuweka huyo ndugu yako.

Ukitaka kuishi maisha yenye amani kaa mbali na toxic people.
 
Mama yake amenilea mimi kwasababu ni mama yangu yaani ni mke WA baba yangu.

Nampenda sana huyu mama.yake,Kwasababu amenipenda sanaaa mimi amenilelea mimi tangu nipo mchanga mpaka
Kwakifupi nikwamba anajua una mzidi kilakitu

Na ndio maana anatumia udhaifu wako wakuamini anacho kuambia kuwa ni kweli kwasababu wewe upo hivyo

Ukiambiwa wewe nimbaya una Amini hivyo

Ukiambiwa huna shape una Amini hivyo

Sasa ukitaka kumwelewa maneno yake yatafsiri nyuma mbele

kwamfano.

akikuambia wewe nimweusi Sana Basi elewa anamaanisha wewe ni mweupe Sana

Akikuambia huja pendeza kabisaa Basi Ana Manisha ume pendeza Sana leo

utauona uzuri na uthamani wako unao mzidi yeye
 
Huyo dada yako ana wivu na wewe katika mafanikio yako. Alitaka uwe mtu wa Shida shida. Cha kufanya acha kuonyesha wala kuelezea mafanikio yako. Usiri utakusaidia sana. Lakini mkwepe pia.
Hili tatizo wanalo wanawake wengi, na naona linawakumba wanaume pia..kuelezea mambo yako kwa kila mtu. Hakuna kitu kibaya kwa dunia ya sasa kama ku-share mafanikio yako, hustles zako na baadhi ya watu. Most of us tuko toxic sana. Sisi wengine tuko so reserved...
 
Nitumie picha yako nione tatizo liko wapi.

Inawezekana anakuonea wivu tu , kuwa kibonge siyo ubaya mbona vibonge wengi ndo warembo, usivae tu nguo zinazokubana bana vaa kiheshima unakua poa kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…