Hii imeniuma sana na itamuuma mtanzania yeyote

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
373
Reaction score
895
Juzi bhna nilienda barbershop kushave.
Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto.

Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa wanapiga stor kwa furaha sana na wakajisahau wakawa wanaongea Kwa sauti kubwa kiasi kwamba niliweza kuwasikia.

Haya maneno niliyasikia Kwa masikio yangu na iliniuma sana.
Jamaa mmoja alimwambia mwenzake hivi.

"KULE MIMI KILA SIKU NAPATA SIYO CHINI YA 180K NA UZURI KULE HAKUNA AUDIT"

Jamani labda mimi nilielewa vibaya, nambie wewe ukisikia sentence hii nini kinakuijia kichwani?

Hiyo gari ni cruiser nyeupe plate number inasoma STL
 
Nawewe tafuta kiota chako babu ukandamize
 
Wacha umbea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…