Hii imeniuma sana na itamuuma mtanzania yeyote

Tafuta hela.....kimsingi hiyo ni pesa ndogo sana kwamaisha ya sasa.......UKIFUATILIA MAMBO YA WATU UTAPUNGUZA SIKU ZAKO ALIZOKUPANGIA MYAAAZMNGU
 
Kama hakuna Audit basi huko ni kwenye ofisi ya namba 1 , sasa kupiga mzigo mpaka utoboe na uingie Jumba jeupe we kuweza???

Endelea kukaza buti huko huko ulipo, maana ni bahati iliyoje kujikuta umepata utawala Jumba jeupe

Sana sana uwe na muonekano wa ki-snitch uishie kula shavu kule geti jeusi uanze kuwachoma wanao na wasio wanao kwa maslahi mapana ya nchi ya kusadikika
 
Hiyo ni kawaida kwa kila mtanzania kutafuta kagepu ka upigaji... Na tukishapiga kusimuliana ni kawaida. Sasa ole wako usimuliwe harafu ukanichome, utachukiwa maisha

This is Africa kijana, maisha yetu kivyetuvyetu
 
Watanzania wengi ni wezi ,hawana roho ya kujituma wala uzalendo kwa nchi ,kwa asili yao ni wezi ndio maana nchi haiendelei, naunga mkono mama kubinafsisha bandari na taasisi zingine , nchi haiandai watu wake kuwa wawajibikaji bali inaandaa watu kuwa wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…