Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Yaani mtu mmeongea naye bila kujuana halafu ukadata na sauti mkaja kumeet ukawa sivyo ulivyodhania je ulichukua hatua gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilinipata hiyo, alikuw na sauti nzuri hatari. Kuja siku nikutane nae pale maeneo ya Mwenge enzi hizo 2012, nikajibanza kwanza sehemu nimcheki kwa mbali kuja kubaini... Dah... Nilichoka mtu wangu. Yani kidogo nigeuze, ila tu nkaona siyo kesi. Nikamfuata tuakenda sehemu tukakaa sehemu tukaongea huku tunapiga soda kidogo, then nkasepa zangu kurudi. Nikawa nampotezea mdogo mdogo... hadi ikawa over...Yaani mtu mmeongea naye bila kujuana halafu ukadata na sauti mkaja kumeet ukawa sivyo ulivyodhania je ulichukua hatua gani?