Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
trafiki na madereva kwenye rushwa ni pipa na mfunikoSheria lazima zifuatwe kama zilivyo wekwa kwa upande wa madereva.
Ila Trafiki wao wanavunja sheria kwa kutaka rushwa inafika stage mpaka wanaona kama kupewa rushwa ni haki yao ya msingi.
Mkuu unadhani hawa Madereva wanaweza kushataki wapi tatizo hili la Trafiki kuona rushwa ni haki yao msingi?