Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhan ww ndo mwenye uelewa
Somalia imekua iko na mgogoro na Ethiopia juu ya Somali land ….Issue nn Mgosi?
Hueleweki, kwani Rais wa Somalia haruhusiwi kuja Tanzania?
Sasa wewe mbona nimekuelewa?Nadhani hujamuelewa mleta mada, madai yake ni hiyo ramani ya Somalia. Hicho kisehemu kwa uelewa wake anasema ni mali ya Ethiopia na si Somalia, sasa swali lake ni juu ya Tanzania kuunga mkono hiyo hoja ya hicho kieneo.
Labda utupe kwanza taarifa kamiliSera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
View attachment 2977432
Angalia hilo bango la tanzaniaLabda utupe kwanza taarifa kamili
Ungeijua Rwanda usingesema haya unayosema!! Rwanda is the poorest country on Earth. tofautisha propaganda na uhalisiaNyie endeleeni kuwajadili wasomali nao waje kuwapita kwa maendeleo kama walivyofanya Rwanda. Sasa sijui mtasema nao ni sababu ya pesa za majasusi wa meli maana mnawazushia Rwanda ni pesa za madini ya Congo kumbe mwenzenu PK kainyoosha nchi.Nyie endeleeni tu kupiga kelele kwa mambo yasiowahusu.
Sasa kaka kama hujaelewa sijui hata nakusaidiaje!!Unatuuliza au unajiuliz swali mwenyewe
Utawala wa huyu Mama ni wa hajabu sana, sasa hivi tutaona ugaidi unaongezeka TanzaniaSera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
View attachment 2977432
Ha ha ha au cyoMama jitenge na somalia
Wewe upo bongoland karibu lakini hujawahi fika Rwanda. Mimi nimefika Rwanda na nimekaa wiki mbili sijui umaskini unaousema ni upi. Bongo unataka kusema wameizidi nini.?????hapa naongelea vijijini, umaskini wa vijijini karibu africa yote unafanana au hujawahi kufika huko Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga na kigoma ndani ndani kuona umaskini uliokithiri???,maana kimjini Kigali wapo vizuri sana kuliko Dar. Pasafi na kuna amani. Hamna umeme wa mgawo, maji ya bomba yapo safi, customer services ipo vizuri kila sehemu ya huduma. Nyie mmekalia kusema Rwanda ndogo, so what?? wameshawaacha kimaendeleo.Ungeijua Rwanda usingesema haya unayosema!! Rwanda is the poorest country on Earth. tofautisha propaganda na uhalisia
yaan unalinganisha kata ya kigali na dar ila bongo wengi vichaaaWewe upo bongoland karibu lakini hujawahi fika Rwanda. Mimi nimefika Rwanda na nimekaa wiki mbili sijui umaskini unaousema ni upi. Bongo unataka kusema wameizidi nini.?????hapa naongelea vijijini, umaskini wa vijijini karibu africa yote unafanana au hujawahi kufika huko Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga na kigoma ndani ndani kuona umaskini uliokithiri???,maana kimjini Kigali wapo vizuri sana kuliko Dar. Pasafi na kuna amani. Hamna umeme wa mgawo, maji ya bomba yapo safi, customer services ipo vizuri kila sehemu ya huduma. Nyie mmekalia kusema Rwanda ndogo, so what?? wameshawaacha kimaendeleo.