Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

yaan unalinganisha kata ya kigali na dar ila bongo wengi vichaaa
Hata nchi za kiarabu walikua wanaiona Israel kama kata hivyo hivyo, lakini leo ndio kidume chao kinawauzia hadi Intelligence systems equipments. Mnajisifia ukubwa kumbe mji wote umejaa squatters kama kibera πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Acha shobo
 
Somalia imekua iko na mgogoro na Ethiopia juu ya Somali land ….
Kwa raman hapo Tanzania inaonesha kua inatambua Somaliland si sehemu ya somalia kitu ambacho ni kinyume na madai ya Somalia
Dawa ni kufuta mipaka yote...AFRICA UNITE
 
Naunga mkono maamuzi ya Tanzania Somaliland ijitegemee kwanza Kuna amani.
Hata nchi yako inaonekana unga mkono
Narejea ramani iliyowekwa
 
Attachments

  • 58377CAA-E64F-4E56-A2AE-9F857DFB7A91.jpeg
    58377CAA-E64F-4E56-A2AE-9F857DFB7A91.jpeg
    1 MB · Views: 2
Back
Top Bottom