Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Hata nchi za kiarabu walikua wanaiona Israel kama kata hivyo hivyo, lakini leo ndio kidume chao kinawauzia hadi Intelligence systems equipments. Mnajisifia ukubwa kumbe mji wote umejaa squatters kama kibera π π π π π π π πyaan unalinganisha kata ya kigali na dar ila bongo wengi vichaaa
Acha shoboHata nchi za kiarabu walikua wanaiona Israel kama kata hivyo hivyo, lakini leo ndio kidume chao kinawauzia hadi Intelligence systems equipments. Mnajisifia ukubwa kumbe mji wote umejaa squatters kama kibera π π π π π π π π
Dawa ni kufuta mipaka yote...AFRICA UNITESomalia imekua iko na mgogoro na Ethiopia juu ya Somali land β¦.
Kwa raman hapo Tanzania inaonesha kua inatambua Somaliland si sehemu ya somalia kitu ambacho ni kinyume na madai ya Somalia
Tanzania inatambua Somaliland halireport kwene serikali ya mogadishuSera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
View attachment 2977432
Hata nchi yako inaonekana unga mkonoNaunga mkono maamuzi ya Tanzania Somaliland ijitegemee kwanza Kuna amani.
Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
View attachment 2977432