Hii ina maana gani kwenye mahusiano?

Tafadhari utueleze vizuri ww uliotaje??๐Ÿ‘ฟ
 
Mwanzoni sikutaka aje aishi kwangu, baada ya kuona kaanza migogoro mara "ooh!! Hauna malengo na mimi unanichezea tu.." nikaona isiwe kesi nikamwambia sogea tuishi wote akaja๐Ÿ‘ฟ
Anafanya kazi gani huyo nwanamke,,?
 
Tafadhari utueleze vizuri ww uliotaje??๐Ÿ‘ฟ
Niliona maji ni mafupi baharini, hapo niko na watu kadhaa ninaowafahamu japo siwakumbuki kwa sura
Lakini atmosphere ni kwamba tunajuana vyema..
Nikarukia baharini kuogelea kufuata kitu ambacho niliona kina thamani kwangu..
Matokeo yake nikakutana na mkondo kama wa Nungwi wakati mwanzo nikiwa juu niliona hadi mchanga wa bahari kwa chini ila nilipojitumbukiza tu Bahari ilinibadilikia kuonesha kuwa mimi na bahari hatutakiwi kuchanganyikana kamwe.
Huko juu niliweza kuzisikia sauti za watu wangu zingine zikidai iletwe kamba idumbukizwe kwenye lile duara la maji kwamba mwamba mpaka hapa bado ni mzima anapambana sana huko chini,, hawezi kuwa ameshakufa.
Sauti zingine zinadai hakuna haja kutumbukiza kamba waniache tu nishakufa na hata kama naangamia basi nimejirusha mwenyewe sistahili huruma..
Baada ya hiyo ndoto kuna biashara nilikuwa nahitaji kuianza ila nilikuwa nasubiri pesa ilipwe na mtu fulani
Kutokana na mikataba yangu..
Aisee nilogopa nikabadili na wazo la biashara,, kweli pesa ilitoka ila pamoja na kubadili wazo la biashara bado hatma iliendelea kuniwinda na mwisho niliwekeza pesa zote zikamezwa na haikuwahi kurudi hata 50k kutoka kwenye ile biashara..Ilifikia hatua nikawa naomba hadi ten ya kula kwa watu wananishangaa wengine wanadhani nimeamua kuwakejeli kabisa wanazima na simu..
Waliokuwa na imani kidogo walikuwa wananipa 50k nara 40 mara 20.

Sitaki kuikumbuka ile ndoto na matokeo yake..
 
Ndoto haina maana yoyote, ni kumbukumbu tu ambazo zinakua akilini wakati ubongo umepumzika
 
Aisee kumbe ndoto sio za kuzipuuza kabisa kwa kweli!!๐Ÿ‘ฟ
 
Kwanini unahisi ndoto yako inahusiana na yeye?
Huoni inaweza husu utafutaji wako? Au kitu kingine ? Utaacha mke kisa kumuhusisha na vitu visivyo eleweka
 
Kwanini unahisi ndoto yako inahusiana na yeye?
Huoni inaweza husu utafutaji wako? Au kitu kingine ? Utaacha mke kisa kumuhusisha na vitu visivyo eleweka
ndo maana nikaileta hii ishu jukwaani kupata mawili matatu manake inanichanganya aisee!!๐Ÿ‘ฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ