Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,656
- 9,074
Mwezi wa 10 bado ni parefu sana.
Asante sana kwa ushauri!!!👿Nyoosha maelezo kuwa umemchoka uyo bint na huna mpango wa kumuoa ila unatafuta sababu zisizo rasmi
Mbona kama Kila ndoto ni kwel basi maisha yasingekuwa hivi
Kuna mtu anaota kazaliwa ulaya wakat kwao n manzese
Kama unamuhitaj kweny maisha Yako wewe ndiyo hatma ya mwisho kuwa na maamuzi kama mwanaume lijali
Ok brow 👍 👍Asante sana kwa ushauri!!!👿
Hama weweTatizo anagoma kupangiwa yy anasema anasubiri hapahapa hadi nimuoe huo wa kumi
Mmoja wapo wa watu wa karibu wa huyo binti sio mtu mzuri kwako,Ndege anakuonya dhidi ya MIPANGO yako na huyo binti itakayoongozwa na mtu wa karibu na mwenye nguvu wa familia ya binti.Salam wadau,
Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!!
Lengo langu nilipanga mwezi wa kumi nikajitambulishe na ikiwezekana nimalize kila kitu hasa mahali awe mke rasmi!!
Utata upo hapa, kwa kawaida sina mazoea ya kuota ndoto lkn nashangaa kuna ndoto inajirudia, leo ni mara ya tatu naota kuna ndege anajenga kiota kwenye mti uliokauka ambao ushaanza kuoza imenifikirisha sana je hii ina maana gani? Na kwa kawaida ndege huwa hawaweki viota kwenye miti iliyokauka?!
Je ina maana naweka mipango ya ndoa kwa mtu asiye sahihi??
Mwenye uelewa anisaidie tafadhari!
Duh!!! Hii ni hatari nawaza jioni nimpeleke tu kwao!!👿Mmoja wapo wa watu wa karibu wa huyo binti sio mtu mzuri kwako,Ndege anakuonya dhidi ya MIPANGO yako na huyo binti itakayoongozwa na mtu wa karibu na mwenye nguvu wa familia ya binti.
Amyabtaratibu na kwa hekima,kuna mtu kwao ni mbadi sanaDuh!!! Hii ni hatari nawaza jioni nimpeleke tu kwao!!👿
Ushamtmba tmba weeeee sasa unasingizia ndoto, katoe mahari umuoe acha janja janja.....Salam wadau,
Mwezi wa pili mwanzoni kuna binti niliona bora tu ahamie getoni kwangu tuishi kama mke na mume japokuwa bado sijajitambulisha kwao lakini wazazi wake wananifahamu!!!
Lengo langu nilipanga mwezi wa kumi nikajitambulishe na ikiwezekana nimalize kila kitu hasa mahali awe mke rasmi!!
Utata upo hapa, kwa kawaida sina mazoea ya kuota ndoto lkn nashangaa kuna ndoto inajirudia, leo ni mara ya tatu naota kuna ndege anajenga kiota kwenye mti uliokauka ambao ushaanza kuoza imenifikirisha sana je hii ina maana gani? Na kwa kawaida ndege huwa hawaweki viota kwenye miti iliyokauka?!
Je ina maana naweka mipango ya ndoa kwa mtu asiye sahihi??
Mwenye uelewa anisaidie tafadhari!
Sikutishii hyo ndoto inakuhusu weweLakini bosi unanitisha ujue👿
Wana host watoto wa watu kinyume na milaBoko haram wamefanyeje mkuu?!!👿
Ila jibu tayari unalo. Amua tuJe ina maana naweka mipango ya ndoa kwa mtu asiye sahihi??
........ unadhani .......yy mwenyewe anajua ntamuoa wa kumi na nadhani wazazi wake aliwaambia!!👿
Acha ujinga wa kuamini katika ndoto. Je ungeota huyo binti ni Saaamia ungetuletea maswali haya yasiyo kichwa na miguu na ya kishirikina? Hujawahi kuota umekufa hata kabla ya kumjua.Salam wadau,