Hii ina maana gani kwenye mahusiano?

Ndoto zina maana yake ila kama wazaz wanajua unaishi naye na hawajakatazaa bas sawa
 
Nyoosha maelezo kuwa umemchoka uyo bint na huna mpango wa kumuoa ila unatafuta sababu zisizo rasmi
Mbona kama Kila ndoto ni kwel basi maisha yasingekuwa hivi
Kuna mtu anaota kazaliwa ulaya wakat kwao n manzese

Kama unamuhitaj kweny maisha Yako wewe ndiyo hatma ya mwisho kuwa na maamuzi kama mwanaume lijali
 
Asante sana kwa ushauri!!!👿
 
Mmoja wapo wa watu wa karibu wa huyo binti sio mtu mzuri kwako,Ndege anakuonya dhidi ya MIPANGO yako na huyo binti itakayoongozwa na mtu wa karibu na mwenye nguvu wa familia ya binti.
 
Mmoja wapo wa watu wa karibu wa huyo binti sio mtu mzuri kwako,Ndege anakuonya dhidi ya MIPANGO yako na huyo binti itakayoongozwa na mtu wa karibu na mwenye nguvu wa familia ya binti.
Duh!!! Hii ni hatari nawaza jioni nimpeleke tu kwao!!👿
 
Ushamtmba tmba weeeee sasa unasingizia ndoto, katoe mahari umuoe acha janja janja.....
 
Acha ujinga wa kuamini katika ndoto. Je ungeota huyo binti ni Saaamia ungetuletea maswali haya yasiyo kichwa na miguu na ya kishirikina? Hujawahi kuota umekufa hata kabla ya kumjua.
 
Ndugu yetu tukueleze tu ukweli, wewe akil haziko sawa na adabu yako haiko mahala pake. Tunaishigi na watoto wawatu ikiwa wazaz hawatujui, kama wanakujua huko ni kuwakosea adabu kwa kiwango kikubwa mnooo. Na pia ni dalili tosha kuwa hiyo family pia ina shida, malez hayako sawa sawa au mtoto ana sauti juu ya wazaz wake kias hawawez kumuonya. Sasa kama hamtii wala kumuogopa baba yake mzazi, WEWE NI NANI HATA UFIKIRI ATAKUHESHIM MKIANZA MAISHA?
kama anaweza ondoka tu kwao akaish na wewe kihun huni na wazaz hawana cha kumfanya, BASI SIKU ATAONDOKA KWAKO PIA akaishi kwa muhuni mwingine hata kma utamuoa na WAZAZ WAKE WATAKAA KIMYAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…