Hii ina maana ipi

Hii ina maana ipi

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Wakuu habari Kuna binti mmoja nilikuwa na mfukuzia mwezi wa nne sasa, ni mdada anafanya kazi bandarini Field ya shipping.

Lakini Jana nimeongea nae kwa Simu kwa mara nyingine Nikamwambia namuhitaji I need to build relationships then marriage soon as possible lakini jibu alilonipa leo asubuhi sijaelewa ana maana ipi Kasema.

"sawa acha tuone"
Sasa hapo sijaelewa alikuwa na maana ipi
 
Sawa acha tuone maana yake amekukubali

Cha kufanya muite ghetto...najua akifika ghetto utaelewa cha kufanya,lakini ikitokea hujaelewa cha kufanya pia unaweza kurudi hapa jukwaani kuuliza
Sitaki kumgegeda mana umri wangu huu ni wakutafuta mke nipo na 27
 
Sitaki kumgegeda mana umri wangu huu ni wakutafuta mke nipo na 27
Hautaki kumgegeda hisia zako unazimalizaje?
27 mkubwa huna hisia sio?

Ama na wewe ni mwanachama wa hiki chama chenu cha sheria mkononi?
imageedit_2_9126229852.jpg
 
Kijana una kichwa kizito aiseeh

Embu safisha ghetto hilo ukagusanishe vikojoleo

Chance hiyo bado unajivuta vuta.
 
Mtafute Dada yake au mdogo wake alafu pita nao au hata shoga ake wa karibu, yeye achana nae.
 
Back
Top Bottom