Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Wakuu habari Kuna binti mmoja nilikuwa na mfukuzia mwezi wa nne sasa, ni mdada anafanya kazi bandarini Field ya shipping.
Lakini Jana nimeongea nae kwa Simu kwa mara nyingine Nikamwambia namuhitaji I need to build relationships then marriage soon as possible lakini jibu alilonipa leo asubuhi sijaelewa ana maana ipi Kasema.
"sawa acha tuone"
Sasa hapo sijaelewa alikuwa na maana ipi