Sijaibaa mkuuuduh kweli kila mtu ni mwizi
Mpigie HR wako umuulize ili akufafanulie.Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...
Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??
Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??
Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
Ukiitumia hiyo pesa jiandae kuilipa,haijalishi account ni ya mshahara au lah,ili mradi inasoma majina yako.Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...
Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??
Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??
Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
Vipi kama nimchukua mkopo benk, wanikata kwa miaka kadhaa kabla mkopo haujaisha wakanirudishia salary yangu kama kawaida?!Ukiitumia hiyo pesa jiandae kuilipa,haijalishi account ni ya mshahara au lah,ili mradi inasoma majina yako.
Nna matukio zaidi ya mawili ya case kama yako,jamaa yangu alishawahi kuingiziwa kimakosa karibia 3M,akazitafuna baada ya kuzikuta mpaka siku ya tatu zimo kwenye account yake,baada ya 2weeks aliitwa na waheshimiwa na kuombwa ile pesa iliyozidi.Hakuwa nayo,hata mia kwa wakati huo,kilichofuata ni makato mpaka deni likaisha...
Mmmh...Hata kama salary yako imegota ⅓,utatafutiwa utaratibu tu wa namna ya kuirejesha pesa yao..
usije ukachukua mkopo we mama; pesa ikaisha tukaanza shinda njaa nyumbani.Vipi kama nimchukua mkopo benk, wanikata kwa miaka kadhaa kabla mkopo haujaisha wakanirudishia salary yangu kama kawaida?!
Sichukui tena babake!usije ukachukua mkopo we mama; pesa ikaisha tukaanza shinda njaa nyumbani.
hii imetokea Mara ngapi? mama ake au ndiyo ni Mara ya kwanza unaona;Sichukui tena babake!
Mekuwa surprised kukuta salary inasoma yote wakati mkopo ni mbichi kabisa aki
Hii mara ya pili babakehii imetokea Mara ngapi? mama ake au ndiyo ni Mara ya kwanza unaona;
Miezi miwili mitatu ya nyuma walikuwa wanachukua salio lao?
Magufuli akijua utazitapika.Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...
Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??
Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??
Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
aise;Hii mara ya pili babake
Ya mwezi jana sikuitumia nikijua wataichukua na ya mwezi huu! Ila naona nayo wamesahau!aise;
Use it wisely mama ake
iyo inaweza ikaenda mpaka mwisho wa mwaka huu;hadi pale watapokaa na kuanza Ku review mikopo na marejesho ya wateja wao. Ndipo errors zinaweza onekana kwenye account yako.
Umeshawahi jaribu kuzivuta zikatoka?Ya mwezi jana sikuitumia nikijua wataichukua na ya mwezi huu! Ila naona nayo wamesahau!
Tatizo zikiwa nyingi zinashawishi babake!