Hii ina madhara ganii??

Hii ina madhara ganii??

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
860
Reaction score
620
Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...

Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??

Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??

Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
 
Mpigie HR wako umuulize ili akufafanulie.

Kama siyo yako, basi uirudishe. Maana kama siyo yako; siku yeyote watajua tu kama walikuzidishia. Na itaonekana wewe si mzalendo kwenye kazi yako.
Pia, angalia isijekuwa ni mtego kwako pia, kama haukutegwa na wanadamu basi hata Mungu anaweza kukupima kupitia hilo.

Za kuambiwa uchanganye na zako pia.
 
Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...

Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??

Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??

Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
Ukiitumia hiyo pesa jiandae kuilipa,haijalishi account ni ya mshahara au lah,ili mradi inasoma majina yako.
Nna matukio zaidi ya mawili ya case kama yako,jamaa yangu alishawahi kuingiziwa kimakosa karibia 3M,akazitafuna baada ya kuzikuta mpaka siku ya tatu zimo kwenye account yake,baada ya 2weeks aliitwa na waheshimiwa na kuombwa ile pesa iliyozidi.Hakuwa nayo,hata mia kwa wakati huo,kilichofuata ni makato mpaka deni likaisha...
 
Vipi kama nimchukua mkopo benk, wanikata kwa miaka kadhaa kabla mkopo haujaisha wakanirudishia salary yangu kama kawaida?!
 
Hata kama salary yako imegota ⅓,utatafutiwa utaratibu tu wa namna ya kuirejesha pesa yao..
 
Mzee wewe tafuna tu. Nilishakuta 1+m kwenye akaunti yangu ya ya benki ya kijani kijani. Nikaenda customer care wakanipa statement , nilivyouliza wakaniambia hiyo pesa na mshahara wangu wa kila mwezi.

Mimi niliitafuna vizuuuri.
 
Inawezekana ulistahili kulipwa hiyo;inategemea sera ya taasisi husika kwa wakati huo,yawezekana kuna maboresho ya malipo;subiri baada ya wiki moja kupita ndio uitumie.
 
Sichukui tena babake!
Mekuwa surprised kukuta salary inasoma yote wakati mkopo ni mbichi kabisa aki
hii imetokea Mara ngapi? mama ake au ndiyo ni Mara ya kwanza unaona;

Miezi miwili mitatu ya nyuma walikuwa wanachukua salio lao?
 
Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...

Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??

Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??

Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...
Magufuli akijua utazitapika.
 
Hii mara ya pili babake
aise;
Use it wisely mama ake
iyo inaweza ikaenda mpaka mwisho wa mwaka huu;hadi pale watapokaa na kuanza Ku review mikopo na marejesho ya wateja wao. Ndipo errors zinaweza onekana kwenye account yako.
 
Ya mwezi jana sikuitumia nikijua wataichukua na ya mwezi huu! Ila naona nayo wamesahau!
Tatizo zikiwa nyingi zinashawishi babake!
 
Umeshawahi jaribu kuzivuta zikatoka?
Ziamishie kwenye other account kama unayo; uendelee kuzihifadhia uko.

Siku wakuita na kukuambia kulikua kuna system error, utawaambia nawe uli with draw tokana na zarula za kifamilia nk

Nafikili watakupatia utaratibu mwingine
au unahofu ata izo theluthi kadhaa zilizobakia kwenye salary wa naweza wakaanza dili nazo
 
Back
Top Bottom