Wanajamvii....kuna mahali nilienda kufanya kazi ya umma( kazi maalum) sasa katika kunilipa wamezidisha kiwango cha malipo mara mbilii, hii hela sijaigusa kabisa...
Bado niko njia panda niitumie au niirudishe..? Na Je, nikiitumia madhara yake ni yapi??
Je, hili laweza kuwa tatzo la Benki au Umma??
Note: Account niliyotumia sio Account ya mshahara...
Naomba Kuwasilishaa...