Huyo dogo nadhani anajuta kuweka comment ya kifala πNgumu kumeza hii. Kwenye dunia hii ya utandawazi, kujitokeza hadharani na kubilalamikia vyombo vya habari vya nje kwenye taarifa zenye ukweli wa π―%, nadhani ni upopoma wa kiwango cha juu sana.