Uchaguzi 2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli

Sheria mama ni katiba na haifuati. Sikuelewi unaposema anafuata sheria. Sheria anafuata kunyanyasa watu?
 
Siku zote HAKI ndio msingi wa kila kitu! Angeyafanya aliyoyafanya na akawatendea wengine haki, leo kila mtu angekuwa upande wake! Kiburi , Dharau , majivuno na roho mbaya havijawahi kumuinua mtu hata angelikuwa tajiri au mwenye madaraka makubwa kini!
 
Mnachekesha kweli aisee! Magufuli hakubaliki wapi, huku mitandaoni?

Endeleeni kuota ila jueni tu kwamba kama chadema hamkuchukua nchi 2015 hamtakaa mchukue labda baada ya miaka 20 ijayo.

Msiseme sijawaambia
 
Kwa moyo wa kibinadamu tu kwa jinsi watanzania walivyoonesha kumkataa lazima akate tamaa.

Alianza vibaya atamaliza vibaya. Mwache avune alichopanda. Pk alimpoteza.
Kitendo cha kuminya demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi wapinzani ndicho kimepelekea mtukufu magufuli kuchukiwa na wananchi wengi
 
Utaanza wewe kufa yeye utamuacha
 
Siku zote HAKI ndio msingi wa kila kitu! Angeyafanya aliyoyafanya na akawatendea wengine haki, leo kila mtu angekuwa upande wake! Kiburi , Dharau , majivuno na roho mbaya havijawahi kumuinua mtu hata angelikuwa tajiri au mwenye madaraka makubwa kini!
Uonevu unyanyasaji mwingi kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kuzuia mikutano ya siasa kinyume cha Sheria na katiba ni mojawapo ya mabaya yanayomtafuna mtukufu magufuli
 
Wanaomkataa Magufuli in wapiga deal na vijana Wavivu na wanategemea Serikali iwafanyie kila kitu ila Wenye uwelewa Mpna Wa Mambo Magufuli ndio Rais Wa nchii hii na Ataendelea Baada ya October Wapiga Deal Watapata Tabuuu sana
Utawala huu wako ndipo zimepigwa trilion 1.5 kuna ufisadi kuliko Tawala zote zilizopita CCM ni ile ile ukoo wa panya, Deni la Taifa limekuwa maradufu, ununuzi Ndege kuna 10% kuna ufisadi hata ATCL inajiendesha kwa hasara, wenye uelewa mpana wanajua Serikali hii ina wapiga dili wengi kupita Serikali zote Duniani
 
Na ndio maana mpaka sasa CCM hawataki kuskia mambo ya katiba mpya kwa maana wanajua itawanyima mamlaka kama hayo na itawaumiza kwa upande mkubwa sana
Katiba mpya itoe kinga ya kutoshitakiwa kwa Rais aliyepita ndipo CCM wataogopa kufanya wanayoyafanya sasa
 
Maendeleo ya watu ni muhimu Sana kuliko madaraja....picha zake kila mahali lakini hakuna watu wanamdiscuss... Naona watu wanavitu ndani ya nafsi zao yakiwemo maisha magumu.. Kwenye Sanduku LA kura kibao kitamgeukia hata amini
 
Eti mshika hazina ya nchi mtoto wa dadake
Mkandarasi mkuu ni mume mwenza
Mkuu wa majeshi family member
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Doto katibu mkuu wizara ya fedha ni mtoto wa nje wa mtukufu magufuli siyo mtoto wa dada yake, kwa maana hiyo wizara ya pesa inashikiliwa na Baba na mtoto, wakuu wengi wa vyombo vya Ulinzi wamefikisha mda wao wa kustaafu kisheria lakini bado wapo kazini kwa Hisani za CCM
 
Maendeleo ya watu ni muhimu Sana kuliko madaraja....picha zake kila mahali lakini hakuna watu wanamdiscuss... Naona watu wanavitu ndani ya nafsi zao yakiwemo maisha magumu.. Kwenye Sanduku LA kura kibao kitamgeukia hata amini
Madaraja yana ufisadi tenda zote wanapewa ndugu jamaa wa mtukufu kuna upendeleo kwenye ulaji wote pesa zinazunguka zinawarudia wenyewe kwa njia haramu na za kishetani
 
Ni jukumu la Serikali kuongeza nyongeza za mishahara ya watumishi wa umma, ni jukumu la Serikali kuongeza kwa haki pasipo kuwabambikia kesi kuwanyanyasa kuwaonea watu
 
Ukweli akipita tutaipata tutalimia zaidi ya meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…