Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema tu.Wanayaturu hao,hatari sana.Nina ya kuongea kuhusu hao ila wacha nikae kimya
Kutwa hamuishi kulalamika "Jahazi laja na nyie mwaja" [emoji3][emoji3][emoji3]Choyo kimezidi katika jamii, kila mtu ana rizki yake kutoka kwa Allah ,Qaumu nyingi zimeangamizwa kwa kupenda choyo, napenda ndugu wa mke wangu, sisi ni wapemba tunapenda kujazana nyumba moja, its part and percel y traditional yetu
Huyo mke ndo alikuwa mpumbavu!Hii niliwahi kuiona kisongo Arusha,Jamaa na mkewe wote walikuwa wanafanya kazi A to Z kiwandani wamepanga chumba na sebure
Siku moja wakapata ugeni kutoka singida ndugu zake na mke wa jamaa walikuwa watatu(mama mkwe na vijana wawili wa kiume wadogo zake na mke wa jamaa),walikuja kwa ajili ya kuuza mafuta ya alizeti lakini hata mafuta yalipoisha hawakuondoka wakawa wakaaji,mama mkwe analala sebuleni wale vijana jamaa kawaombea kwa mpangaji mwenzie,nakwambia ilikuwa ni fujo hiyo ndoa ilikosa amani kabisa,asubuhi wanaomba matumizi utazani jamaa aliwaita waje Arusha,jamaa alikoma
Umesahau pwani!???Samahani natania tu! Wasambaa,Wajaluo,Wagogo mpoo?
[emoji1787][emoji1787][emoji28]Ndio zenu watu wa dar kwa uchoyo,bdilikeni kuishi na watu ni baraka pia.
Jamani mtu akiolewa kaolewa na ukoo mtu anakuja na familia nzima .
Yaani wazazi wote wawili , dada , kaka na wadogo zake ndani yanyumba halafu hawana hata haya yakukaa na wao ndio wamefika. Hata wakitafutiwa kazi wapo hapo hapo na chakusikitisha hawachangii chochote sio luku au chakula wala kodi au nini kila kitu ni shemeji kama mpo huku acheni hii tabia mnakera ipo siku mtampomza dada yenu ataachika.
Wifi alijifungua akaniita nikamsalimie kufika nyumba ya jirani yake hadi aibu yaani wamemganda shemeji yao hadi aibu . Na hadi kuoga , chakula na kuishi kwa ujumla inaboa inasikitisha mtu hana raha.
Mimi na wifi yangu tukicheka ile siku mtu na ndugu yake wanakimbizana kisa mtu kala pajaa. Kama mpo huku acheni ujinga na roho ya unafiki nendeni kwenu.
Kwa wifi yangu sijawahi hata kuona ndugu zake. Hata kuwaona ila kama anaumwa au anaboreka ndio unawaona na sio hawana shida ila wanaheshima .
Kama mpo humu acheni uroho wakwanini.
Mnaboa mtu amezeeka kwa shemeji yake . Hadi mvii sio freshi wakuu.
Na hela ya condom unagongea kwa shem🤣Kama hatuna ajira tufanyaje mi nakuja na demu wangu kabisa
Watani zangu wagogo wamekusikiaJamani mtu akiolewa kaolewa na ukoo mtu anakuja na familia nzima .
Yaani wazazi wote wawili , dada , kaka na wadogo zake ndani yanyumba halafu hawana hata haya yakukaa na wao ndio wamefika. Hata wakitafutiwa kazi wapo hapo hapo na chakusikitisha hawachangii chochote sio luku au chakula wala kodi au nini kila kitu ni shemeji kama mpo huku acheni hii tabia mnakera ipo siku mtampomza dada yenu ataachika.
Wifi alijifungua akaniita nikamsalimie kufika nyumba ya jirani yake hadi aibu yaani wamemganda shemeji yao hadi aibu . Na hadi kuoga , chakula na kuishi kwa ujumla inaboa inasikitisha mtu hana raha.
Mimi na wifi yangu tukicheka ile siku mtu na ndugu yake wanakimbizana kisa mtu kala pajaa. Kama mpo huku acheni ujinga na roho ya unafiki nendeni kwenu.
Kwa wifi yangu sijawahi hata kuona ndugu zake. Hata kuwaona ila kama anaumwa au anaboreka ndio unawaona na sio hawana shida ila wanaheshima .
Kama mpo humu acheni uroho wakwanini.
Mnaboa mtu amezeeka kwa shemeji yake . Hadi mvii sio freshi wakuu.
Tatizo lao uwa awuzulii vikao Tulisha kubaliana!📢📢 nimarufuku Mwanaume kukaa kwa shemeji yako bila sababuu toyote×3 MAANA UTAKUWA UMEOLEWA WEWE PAMOJA NA DADA YAKOJamani mtu akiolewa kaolewa na ukoo mtu anakuja na familia nzima .
Yaani wazazi wote wawili , dada , kaka na wadogo zake ndani yanyumba halafu hawana hata haya yakukaa na wao ndio wamefika. Hata wakitafutiwa kazi wapo hapo hapo na chakusikitisha hawachangii chochote sio luku au chakula wala kodi au nini kila kitu ni shemeji kama mpo huku acheni hii tabia mnakera ipo siku mtampomza dada yenu ataachika.
Wifi alijifungua akaniita nikamsalimie kufika nyumba ya jirani yake hadi aibu yaani wamemganda shemeji yao hadi aibu . Na hadi kuoga , chakula na kuishi kwa ujumla inaboa inasikitisha mtu hana raha.
Mimi na wifi yangu tukicheka ile siku mtu na ndugu yake wanakimbizana kisa mtu kala pajaa. Kama mpo huku acheni ujinga na roho ya unafiki nendeni kwenu.
Kwa wifi yangu sijawahi hata kuona ndugu zake. Hata kuwaona ila kama anaumwa au anaboreka ndio unawaona na sio hawana shida ila wanaheshima .
Kama mpo humu acheni uroho wakwanini.
Mnaboa mtu amezeeka kwa shemeji yake . Hadi mvii sio freshi wakuu.
Mbona umewasahau warangi wapenda vinono...Samahani natania tu! Wasambaa,Wajaluo,Wagogo mpoo?
Mkuu dar hakuna cha bureNdio zenu watu wa dar kwa uchoyo,bdilikeni kuishi na watu ni baraka pia.
kwani huku kuna cha bure au huduma zote za kijamii tunapewa bure..mmeendekeza roho mbaya tu + uchoyo.Mkuu dar hakuna cha bure
Ni baraka ukiwa tayri unauchumi imara Ila mtu Una chumba na sebule si kutiana umamskini uko baraka gani izoo maisha yenyewe haya kila mtu apambanie kombe kivyake tusitiane majaribu tuanzee kuonekana wabaya kama mtu hajwa stable kiuchumi kasalimie wiki ondokaNdio zenu watu wa dar kwa uchoyo,bdilikeni kuishi na watu ni baraka pia.
Niliwahi sikia wajika tu kwa mwanao hawaondoki wanakuja na kuku na mchele .Wanayaturu hao,hatari sana.Nina ya kuongea kuhusu hao ila wacha nikae kimya
Kuna mabest zangu walikuwa wanaliwa na shemeji yao ilì wasomeshwe .Umeletewa mademu uwagonge mkuu usilalamike
Nalog off Z
Safi sana ukiletewa lzm uwagongeKuna mabest zangu walikuwa wanaliwa na shemeji yao ilì wasomeshwe .
Nawanajuana huyo kaka hana haja ya kwenda nje ana 6 ndani na 7 housegirl nane dada mtu