Hii inakera sana

wakija nami naondoka kikazi alafu nilipo enda nazima simu mazima adi waondoke ndo nitarudi
 
Choyo kimezidi katika jamii, kila mtu ana rizki yake kutoka kwa Allah ,Qaumu nyingi zimeangamizwa kwa kupenda choyo, napenda ndugu wa mke wangu, sisi ni wapemba tunapenda kujazana nyumba moja, its part and percel y traditional yetu
Kutwa hamuishi kulalamika "Jahazi laja na nyie mwaja" [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo mke ndo alikuwa mpumbavu!
 

Wacha tuendelee kupata kamseleleko kwa shemeji
 
Watani zangu wagogo wamekusikia
 
Tatizo lao uwa awuzulii vikao Tulisha kubaliana!📢📢 nimarufuku Mwanaume kukaa kwa shemeji yako bila sababuu toyote×3 MAANA UTAKUWA UMEOLEWA WEWE PAMOJA NA DADA YAKO
 
Huyo boya aliyesema akija kusalimia anakuja na demu wake nimemvulia kofia!
Dawa yake ni kumjazia huyo demu mimba alafu kulea wakalelee walikotoka
 
Shida inaanzia kwa anewapa hifadhi mpaka akaenda kuomba kwa jirani which means enzi zake nae kabla hajatoka huenda nae alijibeba kwa ndugu na kutengeneza bond moja matata sana, sasa na yeye amechomoka kimaisha ndugu wanaambiana kabisa ukienda mkoa flani kuna ndugu yetu hivyo anawapokea kulipa fadhila huku akiogopa kuwaswaga maana alikula ugali wao na kulala jikoni pindi alipopata fursa ya kuwatembelea na kuhamia kabisa (inamrudia yeye sasa)

Suruhisho, ukipata wageni wahifadhi pale pale kwako hata kama hapatoshi na usiombe hifadhi kwa jirani na kuzua taharuki kwani dunia ya sasa imebadilika. Lakini pia tulee watoto wapende kwao hata kama kuna changamoto na hata wakisafiri kwenda kwa ndugu wakikaa kidogo wanakumbuka home (ile hali ya kum-miss baba, mama na ndugu zako wengine iwepo na sio mtu anasafiri mwaka hata hamkumbuki mama wala baba)
 
Ndio zenu watu wa dar kwa uchoyo,bdilikeni kuishi na watu ni baraka pia.
Ni baraka ukiwa tayri unauchumi imara Ila mtu Una chumba na sebule si kutiana umamskini uko baraka gani izoo maisha yenyewe haya kila mtu apambanie kombe kivyake tusitiane majaribu tuanzee kuonekana wabaya kama mtu hajwa stable kiuchumi kasalimie wiki ondoka
 
Wanayaturu hao,hatari sana.Nina ya kuongea kuhusu hao ila wacha nikae kimya
Niliwahi sikia wajika tu kwa mwanao hawaondoki wanakuja na kuku na mchele .
Halafu hawatoki tena kwako hadi unalia yaani nawanaweza kukuharibia ndoa ukiacha hela ya mezawanataka hata wao kweli
 
Umeletewa mademu uwagonge mkuu usilalamike
Nalog off Z
Kuna mabest zangu walikuwa wanaliwa na shemeji yao ilì wasomeshwe .
Nawanajuana huyo kaka hana haja ya kwenda nje ana 6 ndani na 7 housegirl nane dada mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…