Hii inakera sana

Nyie wote mnao sema wageni ni baraka namini hamishi dar .... ukija kwangu niambie utakaa siku ngapi , pia unapokuja njoo na kibaba cja mchele usije mikono mitupu
... ukija na mabegi makubwa nakurudisha pale stendi .....
 
Mimi Eva nakubali kuolewa na Edgar kwa moyo wangu wote na nitaishi naye katika shida na raha vinafuata vigelegele......... Huo ukoo uliohamia kwako utakaa kwa siku ngapi??
 
Mimi Eva nakubali kuolewa na Edgar kwa moyo wangu wote na nitaishi naye katika shida na raha vinafuata vigelegele......... Huo ukoo uliohamia kwako utakaa kwa siku ngapi??
Sijui watakaa kwa muda gani kwa sababu hawana dalili ya kuondoka wala kama wanakimbizana na kipapatio cha kuku hao hawana dalili za kuondoka
 
kwenye familia yetu hatuna tabia za hivo na hata mimi siwezi ruhusu iko kitu ila point yangu ni kwamba jifunze kuwachia mambo.yao
Hawajasemeshwa mie ni mtu nikikusemesha tunaishia polisi mi mmeru nusu nakupasua na mawe na visu sisi nikawaida .
Ila ikija kwa utulivu tu naheshimu mwana ila akizingua nampa za fasta fasta .
Sisi kuvurugana nidakika sifuri
 
Ohooo kuna kabila moja kanda ya kati wengi wao wanayohiyo tabia nimeishi huko nimejifunza mengi kutoka kwao kama unaishi mjini na unawezo wanaweza wakahamia familia nzima wale watu ni wavivu wa kazi wanapenda mteremko tu
 
Mi na karibisha mashemeji wa kukaa kwangu ila mashemeji wa kike tu walio jaaliwa nundu au msambwanda hao wakae sina tatizo ila wa kiume staki kabisa kwangu[emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…