Hii inamaanisha tukiacha kununua magari watu wa UKIMWI tutawapoteza?

Hii inamaanisha tukiacha kununua magari watu wa UKIMWI tutawapoteza?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa.

Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
 
Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa.

Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
WHO ARE YOU wamekata msaada wa dawa za UKIMWI pambaneni na hali zenu.
Gari ni one off,hununui gari kila siku. Imagine tozo hii ingewekwa kwenye miamala ya simu. Ni hatari. Kibaya zaodi hizo hela wala hazitanunua hizo dawa za AIDS. Zitaliwa.
 
Mabwana wakubwa wamesema pambaneni na hali yenu,tuwape misaada huku mnatutukana.

Wangeiweka kwenywe mafuta ingependeza zaidi.
 
Siyo kwenye magari tu hata Kwa wale wanaojihusisha na madini. kuna asilimia huwa wanakatwa Kwa ajili ya mambo ya HIV
 
Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa.

Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
Kwa hili napendekeza ndugu zetu , wa vvu kuandaa maandamano makubwa kwenda ubarozi wa marekani ,kuomba dawa na mahitaji yao yasiwekewe vikwazo , nasi tutawaunga mkono, tofauti na hapo twendako itakua balaa,

Hatujaweka kifua kikuu, ujaweka homa ya ini,

Dadeki sijui
 
Back
Top Bottom