Hii inasaidia nini au kujipa kazi za bure tu

Youngblood

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,433
Reaction score
56,810
Wataalamu wa friji na freezer hizi mbao kama stand hapo chini ya friji, huwa zinasaidia nini au tunajipa kazi za bure tu.

images (5).jpeg

Miaka ya Nyumba baadhi ya mfumo wa upoozaji wa frige ilikua designed kukaa huko chini,
Hivo hizo mbao kama stand ziliwekwa kusaidia upoozaji yani kuwe na nafasi ya kutosha kuruhusu hewa kati ya fridge na sakafu.
Siku hizi aina hiyo za frige hakuna tena, mifumo ya upoozaji imewekwa kwa nyuma nyingine Kwa pembeni ya fridge hivo hizo mbao hazina uhitaji tena.
 
Nimepata kitu hapa, asante mkuu
 
Back
Top Bottom