Hii inasaidia nini au kujipa kazi za bure tu

Hiyo ni Kama stendi ya friji kuna mda hasa unapozima freeza lako maji hutoka ndani sasa inafaida gani
1: huondoa kutu (kuharibika) kwa nje.
2: inasaidia katika usafi.
3: hufanya wadudu wasikae Kama tandu.
4: huzuia shoti endapo kutakuwa na tatizo hilo
Nb: sio lazima liwe Kama Hilo siku izi hata ya plastic yapo
Yangu ni hayo.
 
Ndo maana nikasema tusifokewe aisee.

Ngoja leo nikifika naitoa ingawa ndo mwanzo wa friji kuanza kushika kutu kwa yale maji ya deki.

Mtoa uzi una nafasi yako motoni[emoji1787]
Umenichekesha sana mwamba [emoji23][emoji23]
 
Naomba upate a good glass of wine on my account
 
Mm kwangu sijaweka nimeweka friji kama friji yenyewe tu[emoji23] basi kila mtu akija lazima ahoji kwann sijaweka?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kutu, kutu, kutu ikiwa fridge hutiririsha matone ya maji chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…