Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

Pumbavu Hayati hupewa sana Public Figures ( na hasa hasa ) Marais ( Watawala )

Jambo dogo tu linakushinda kulijua je, hii Mada inayohitaji Akili Kubwa Kuijadili utaweza kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwendraaaaa huyo sio HAYATI wala MAREHEMU

Huyo ni MWENDAZAKE!!!!
 
Mkuu hata mimi nilikuwa na bado nina msimamo kama wako ila nimelegeza msimamo kidogo kutokana na vigezo vifuatavyo;
1: Katiba inamtaka Rais anayeshikilia kiti cha urais kwa mazingira kama yaliyotokea chini ya miaka mitatu ataruhusiwa kugombea tena na tena.Yaani kama Magufuli angefariki akiwa amebakiza mwaka mmoja basi rais SSH angeruhusiwa kugombea tena 2025 na 2030.

2: Kwakuwa SSH ameshika kiti ikiwa imebaki miaka minne awamu hii imalizike,Kikatiba hatoruhusiwa kugombea tena 2030 so kwa maana nyingine ni kama hii ni awamu yake ya kwanza ya urais kisha atamalizia awamu yake ya pili 2025 nadhani ndiyo sababu ameamua kuiita awamu ya sita.
 
Asee naona watu kama tunatofautiana sana ktk kuitafsiri katiba. Kwa upande wangu naona ipo wazi sana maana ktk mazingira hayo inaeleza kwamba,
Makamu wa rais ataapishwa kuwa rais na kwamba kama muda uliobaki kumalizia awamu ni mfupi( chini ya miaka 3) basi atamalizia awamu hiyo,
Na kwamba kama bado kunamuda wa kutosha( zaidi ya miaka mitatu) kama ilivyotokea kwa nchi yetu basi rais atakayeapishwa hiyo itakuwa awamu yake ya kwanza.
My take: kama hii ni awamu/ muhula wa kwanza kwa mheshimiwa SSH( kwa mujibu wa katiba) basi haihitaji elimu ya chuo kikuu kujumlisha awamu zilizopita na hii ili kupata awamu sita.
 
Mkuu hata mimi nilikuwa na bado nina msimamo kama wako ila nimelegeza msimamo kidogo kutokana na vigezo vifuatavyo;
1: Katiba inamtaka Rais anayeshikilia kiti cha urais kwa mazingira kama yaliyotokea chini ya miaka mitatu ataruhusiwa kugombea tena na tena.Yaani kama Magufuli angefariki akiwa amebakiza mwaka mmoja basi rais SSH angeruhusiwa kugombea tena 2025 na 2030.

2: Kwakuwa SSH ameshika kiti ikiwa imebaki miaka minne awamu hii imalizike,Kikatiba hatoruhusiwa kugombea tena 2030 so kwa maana nyingine ni kama hii ni awamu yake ya kwanza ya urais kisha atamalizia awamu yake ya pili 2025 nadhani ndiyo sababu ameamua kuiita awamu ya sita.
Mkuu hiki ulichokisema ndicho kinapatikana ktk sheria mama( katiba).
Hapa naanza kuamini ule msemo kwamba ukitaka kumficha kitu mtiz, kiweke ktk maandishi.
Shida hapa naiona kwamba wengi wetu hatutaki kusoma na kuelewa.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano.

Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga Sarakasi katika Viti vyao na Kumuimbia Rais wa Awamu ya Sita Mama Samia Suluhu Hassan huku wao wakijitambua kuwa ni Wabunge wa Awamu ya Tano.

Huenda Mimi Generalist na baadhi ya Watanzania wenzangu wachache sana Wanaojitambua ( Werevu ) hatujui kuwa kumbe baada tu ya Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli tarehe 17 Machi, 2021 Kesho yake kulifanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambapo Rais Samia akaibuka Mshindi wa Kura pamoja na Wabunge na kuwa rasmi ni Rais wa Awamu ya Sita pamoja na hao Wabunge na Madiwani.

Leo Watu wa Mitandaoni tumetishiwa na kuambiwa kuwa kumbe tunajulikana na wakikutaka basi muda wowote ule watatupata.

Nawapongeza kwa hilo ila Rais Mama Samia nae akae akijua kuwa wengine hata ikitokea tumekufa kwa Kulazimishwa ( Kuuawa ) kwa kuwa Wakosoaji wenye Mantiki humu Mitandaoni dhidi ya Utawala wake huwa tunafurahi kwani kwa Mwenyezi Mungu atatupokea kama Mashujaa wa kuwa Wakweli, siyo Waongo na kutopenda Unafiki wala Kujipendekeza Kwake.

Msimamo wangu Generalist ni ule ule tu kuwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya ( katika ) Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ( wa mwisho )

Sipo katika Kundi la 'Vichwa Maji' wengi.
Mkuu kwa namna ulivyoandika Uzi wako no wazi kwamba umeisoma katiba 'juujuu' sana kisha ukaja kuleta Uzi wako hapa. Bado unaomuda wa kuipitia vizuri na utaielewa tu.
Hiyo sentensi ya mwisho ungeiandika ukiwa umejiridhisha vya kutosha ktk kuisoma ile ibara ya 37 ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Ukikuta inaeleza tofauti na unavyoelewa wewe utakuwa umekosea sana ktk huu uzi.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano.

Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga Sarakasi katika Viti vyao na Kumuimbia Rais wa Awamu ya Sita Mama Samia Suluhu Hassan huku wao wakijitambua kuwa ni Wabunge wa Awamu ya Tano.

Huenda Mimi Generalist na baadhi ya Watanzania wenzangu wachache sana Wanaojitambua ( Werevu ) hatujui kuwa kumbe baada tu ya Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli tarehe 17 Machi, 2021 Kesho yake kulifanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambapo Rais Samia akaibuka Mshindi wa Kura pamoja na Wabunge na kuwa rasmi ni Rais wa Awamu ya Sita pamoja na hao Wabunge na Madiwani.

Leo Watu wa Mitandaoni tumetishiwa na kuambiwa kuwa kumbe tunajulikana na wakikutaka basi muda wowote ule watatupata.

Nawapongeza kwa hilo ila Rais Mama Samia nae akae akijua kuwa wengine hata ikitokea tumekufa kwa Kulazimishwa ( Kuuawa ) kwa kuwa Wakosoaji wenye Mantiki humu Mitandaoni dhidi ya Utawala wake huwa tunafurahi kwani kwa Mwenyezi Mungu atatupokea kama Mashujaa wa kuwa Wakweli, siyo Waongo na kutopenda Unafiki wala Kujipendekeza Kwake.

Msimamo wangu Generalist ni ule ule tu kuwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya ( katika ) Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ( wa mwisho )

Sipo katika Kundi la 'Vichwa Maji' wengi.
Mi lia nashangaa kujiita ei Rais wa Awamu ya Sita na walka watu wake hawamsahihishi. BAdo awamu ni ya Tano yeye ni RAsi wa Sita lakini anaiongoza awamu ya tano mpaja 2025.
 
Inaitumia vibaya nafasi uliyopewa. Huu utumbo uliocharaza hapa ni wa kiwango cha lami.
 
Leo Watu wa Mitandaoni tumetishiwa na kuambiwa kuwa kumbe tunajulikana na wakikutaka basi
Kumbe mtu mwenyewe mwoga hivi?? Wakati ulipokiwa unatumia ile ID nyingine miaka yote si ulikuwa unajiita wewe ni Geneius na una high profile. Tena ukawa unajinasibu wewe ni mnyarwanda?
 
Mi lia nashangaa kujiita ei Rais wa Awamu ya Sita na walka watu wake hawamsahihishi. BAdo awamu ni ya Tano yeye ni RAsi wa Sita lakini anaiongoza awamu ya tano mpaja 2025.
Mkuu mbona kama unaumia Samia kuwa Rais,
 
Mimi mwenyewe kumuita rais napata kigungumizi, maana hajachaguliwa kwa sanduku la kura na hajashindana na mtu yoyote akamshinda.bado ni makamu wa rais japo kakaimu nafasi ya urais

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom