Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

Mkuu Generalist hebu rudi ukasome katiba ya JMT na uelewe kwa ufasaha make unajichanganya ktk maswala madogo kama haya.
Usichanganye mchakato wa upatikanaji wa rais na utawala wa wa rais.

SSH anapojinasibu kuwa ni rais wa awamu ya sita, anamaanisha kwamba ni mtawala wa sita ktk uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alipoingia madarakani, ilimpendeza kuendelea na baraza la mawaziri la mtangulizi wake na yupo halali kisheria. Na haimaanishi kwamba hata angevunja baraza, basi na Bunge lingevunjwa.

Katiba yetu ingekuwa inaruhusu Rais asitokane na chama chochote cha siasa, haya mambo uliyonena i.e katiba ya chama etc yasingekuwepo.

Kwahiyo kwa ujumla na kifupi ni kwamba mada yako inaongelea zamu za utawala wa nchi kwa mjibu wa katiba na si mchakato wa uchaguzi mkuu kumpata rais.

Inaonesha wazi somo la Urai/Civics lilikupiga chenga au mwenzetu elimu yako ya upili uliipatia Mogadishu??!!
 
Hili neno "Awamu" lililetwa na Mzee Mwinyi kwa maana ya kuwa uongozi ni kupokezana kwa awamu (phase), haliko ndani ya katiba. Ningeshauri lifutwe kwenye matumizi ya muundo wa serikjali kwani linaonekana kuwa na implication mbaya ambayo haikutegemewa na muasisi wake (unintended consequences). Hata rais ambaye hakuchaguliwa sasa anajiita ni awamu mpya na anakuja na mambo mapya ambayo sidhani kama kweli ndiyo lilikuwa lengo za mwinyi. Kwake yeye ilikuwa kila uchaguzi utaleta awamu nyingine, kwani wakati wa uchaguzi mgombea huwaambia wananchi kuwa akichaguliwa malengo yake yatakuwa ni yapi. Kwa hiyo anaingia madarakani na malengo yanayojulikana kwa awamu yake.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano.

Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga Sarakasi katika Viti vyao na Kumuimbia Rais wa Awamu ya Sita Mama Samia Suluhu Hassan huku wao wakijitambua kuwa ni Wabunge wa Awamu ya Tano.

Huenda Mimi Generalist na baadhi ya Watanzania wenzangu wachache sana Wanaojitambua ( Werevu ) hatujui kuwa kumbe baada tu ya Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli tarehe 17 Machi, 2021 Kesho yake kulifanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambapo Rais Samia akaibuka Mshindi wa Kura pamoja na Wabunge na kuwa rasmi ni Rais wa Awamu ya Sita pamoja na hao Wabunge na Madiwani.

Leo Watu wa Mitandaoni tumetishiwa na kuambiwa kuwa kumbe tunajulikana na wakikutaka basi muda wowote ule watatupata.

Nawapongeza kwa hilo ila Rais Mama Samia nae akae akijua kuwa wengine hata ikitokea tumekufa kwa Kulazimishwa ( Kuuawa ) kwa kuwa Wakosoaji wenye Mantiki humu Mitandaoni dhidi ya Utawala wake huwa tunafurahi kwani kwa Mwenyezi Mungu atatupokea kama Mashujaa wa kuwa Wakweli, siyo Waongo na kutopenda Unafiki wala Kujipendekeza Kwake.

Msimamo wangu Generalist ni ule ule tu kuwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya ( katika ) Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ( wa mwisho )

Sipo katika Kundi la 'Vichwa Maji' wengi.
Awamu ya tano imezikwa na mwendazake. Hii ni ya sita na tutegemee mambo ya tofauti sana. Tukae mkao wa kula.
 
Mambo ya awamu Ni ujinga mtupu. Hata sielewi maana yake Nini. Mie niliyasikia wakati wa Mwinyi eti Ni rais wa awamu ya pili nikastajabu sana. Huyu Ni rais wa sita hayo ya awamu Ni ujuha tu
 
Pumbavu kwetu ni Asante au Hongera hv kwenu ndo tusi??? Katiba hii ni ya mwaka 1977 Nyerere kajiuzuru mwaka 1985 huoni ni chini ya miaka 10 katiba inatambua vipindi viwili vya miaka 5 kila kipindi sasa hata ukikaa miaka 6 ukajiuzuru kuna tatizo? Kingine tumia akili japo kidogo matusi hayajawahi kuwa sifa ya mtu anayejitambua na mwenye akili timamu .
Kwa hiyo katiba ilikiukwa ilikuwaje makamu wa nyerere hakurithi awamu ya nyerere kusubiri uchaguzi mkuu wa 1987?
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano.

Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga Sarakasi katika Viti vyao na Kumuimbia Rais wa Awamu ya Sita Mama Samia Suluhu Hassan huku wao wakijitambua kuwa ni Wabunge wa Awamu ya Tano.

Huenda Mimi Generalist na baadhi ya Watanzania wenzangu wachache sana Wanaojitambua ( Werevu ) hatujui kuwa kumbe baada tu ya Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli tarehe 17 Machi, 2021 Kesho yake kulifanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambapo Rais Samia akaibuka Mshindi wa Kura pamoja na Wabunge na kuwa rasmi ni Rais wa Awamu ya Sita pamoja na hao Wabunge na Madiwani.

Leo Watu wa Mitandaoni tumetishiwa na kuambiwa kuwa kumbe tunajulikana na wakikutaka basi muda wowote ule watatupata.

Nawapongeza kwa hilo ila Rais Mama Samia nae akae akijua kuwa wengine hata ikitokea tumekufa kwa Kulazimishwa ( Kuuawa ) kwa kuwa Wakosoaji wenye Mantiki humu Mitandaoni dhidi ya Utawala wake huwa tunafurahi kwani kwa Mwenyezi Mungu atatupokea kama Mashujaa wa kuwa Wakweli, siyo Waongo na kutopenda Unafiki wala Kujipendekeza Kwake.

Msimamo wangu Generalist ni ule ule tu kuwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya ( katika ) Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ( wa mwisho )

Sipo katika Kundi la 'Vichwa Maji' wengi.
Hii habari ya Awamu ya ngapi, sioni hata umuhimu wake. Tunaweza kumjadili Rais Samia ni kwa kiwango gani anaendeleza "Umagufuli" na ni kwa kiwango gani tumeingia, katika "Usamia".

La msingi zaidi, anaheshimu Katiba na sheria? Anazingatia haki katika utendaji wa serikali yake, na haki za binadamu?

Na zaidi ya hayo yote anawajali watanzania? Mimi binafsi amenikosha sana kwa kuongelea kwa kina suala la kilimo. Na nimefarijika sana kumsikia akitamka kwamba demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari, na haki, ni msingi wa amani. Na pia kwamba atakutana na viongozi wa vyama vya siasa. Hiyo ni habari njema kabisa kwa afya ya taifa letu.
 
Nani ameleta habari za kumchukia?? Umelewa sio???

Upumbavu wenu na kosoa kosoa zenu zisizo na msingi hazina nafasi AWAMU hii.

Mheshimiwa rais Mama Samia hana muda wa kusikiliza kosoa kosoa za kipumbavu. Muda wake ameutenga kutumikia Watanzania

Rais wako karuhusu kukosolewa kwa hoja, na anasoma haya mitandaoni.... wewe ni nani useme hana muda?

Ukiitwa mpumbavu uwe tu unashukuru.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano.

Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga Sarakasi katika Viti vyao na Kumuimbia Rais wa Awamu ya Sita Mama Samia Suluhu Hassan huku wao wakijitambua kuwa ni Wabunge wa Awamu ya Tano.

Huenda Mimi Generalist na baadhi ya Watanzania wenzangu wachache sana Wanaojitambua ( Werevu ) hatujui kuwa kumbe baada tu ya Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli tarehe 17 Machi, 2021 Kesho yake kulifanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambapo Rais Samia akaibuka Mshindi wa Kura pamoja na Wabunge na kuwa rasmi ni Rais wa Awamu ya Sita pamoja na hao Wabunge na Madiwani.

Leo Watu wa Mitandaoni tumetishiwa na kuambiwa kuwa kumbe tunajulikana na wakikutaka basi muda wowote ule watatupata.

Nawapongeza kwa hilo ila Rais Mama Samia nae akae akijua kuwa wengine hata ikitokea tumekufa kwa Kulazimishwa ( Kuuawa ) kwa kuwa Wakosoaji wenye Mantiki humu Mitandaoni dhidi ya Utawala wake huwa tunafurahi kwani kwa Mwenyezi Mungu atatupokea kama Mashujaa wa kuwa Wakweli, siyo Waongo na kutopenda Unafiki wala Kujipendekeza Kwake.

Msimamo wangu Generalist ni ule ule tu kuwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya ( katika ) Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ( wa mwisho )

Sipo katika Kundi la 'Vichwa Maji' wengi.
You are right. True true true. She in a 6th president in the fifth phase government.
 
Kifungu cha 42 na 43 vinazungumzia Terms of office of President kwa maana ya (mihula) ambapo ni miwili na isizidi miaka 10 swala la Awamu (phase)lipo kwenye tafsiri tu ya Kiswahili ambapo kila mtu anaweza kuja na tafsiri yake mwenyewe.
Exactly! sasa umenipata. Hili ndio linalonikera kwa hawa watu wanaolia lia juu ya awamu ya tano au ya sita! Hakuna katika katiba awamu, hakuna wapi awamu inaanza na wapi inamalizika, pia hakuna kifungu katika katiba kinachosema ni vipi awamu inahisabiwa. Laiti watu wangeliwacha kupiga kelele juu ya suali hili na kutumia wakati wao kwa mambo mengine muhimu.
 
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano.

Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga Sarakasi katika Viti vyao na Kumuimbia Rais wa Awamu ya Sita Mama Samia Suluhu Hassan huku wao wakijitambua kuwa ni Wabunge wa Awamu ya Tano.

Huenda Mimi Generalist na baadhi ya Watanzania wenzangu wachache sana Wanaojitambua ( Werevu ) hatujui kuwa kumbe baada tu ya Kifo cha Hayati Rais Dkt. Magufuli tarehe 17 Machi, 2021 Kesho yake kulifanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambapo Rais Samia akaibuka Mshindi wa Kura pamoja na Wabunge na kuwa rasmi ni Rais wa Awamu ya Sita pamoja na hao Wabunge na Madiwani.

Leo Watu wa Mitandaoni tumetishiwa na kuambiwa kuwa kumbe tunajulikana na wakikutaka basi muda wowote ule watatupata.

Nawapongeza kwa hilo ila Rais Mama Samia nae akae akijua kuwa wengine hata ikitokea tumekufa kwa Kulazimishwa ( Kuuawa ) kwa kuwa Wakosoaji wenye Mantiki humu Mitandaoni dhidi ya Utawala wake huwa tunafurahi kwani kwa Mwenyezi Mungu atatupokea kama Mashujaa wa kuwa Wakweli, siyo Waongo na kutopenda Unafiki wala Kujipendekeza Kwake.

Msimamo wangu Generalist ni ule ule tu kuwa Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Sita ndani ya ( katika ) Awamu ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ( wa mwisho )

Sipo katika Kundi la 'Vichwa Maji' wengi.

Mama Samia anatumia bando la kura la JPM,
 
Na wale ambao hawachoki kuimba "Tuna imani nae Mama" yaani ni kama vile wanalazimisha kwa kutumia nguvu sana ili watu waamini kuwa 'mwanamke' anaweza........... Ni kweli anaweza hakuna haja ya kugongomelea kila saa kama vile wanawasuta watu.
Sisi tunawakumbusha tu wale ambao wanasema hawana imani na mama kwamba Sisi Watanzania tuna imani nae kabisa.

Juu ya hilo ndio maana tunasema kwamba: Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
 
Safi sana Ndugu yangu kwa huu Ufafanuzi wako tena wa Kimantiki kabisa juu ya hili.
Kinachonishangaza walio karibu nae Rais Samia wanamuogopa Kumwambia ukweli huu halisi.
Kwa Kuendelea Kwake kusema ni Rais wa Awamu ya Sita naanza kuwa na Mashaka nae na Uelewa.
Huyu Mwendazake alikuwa na awamu moja tu, ya 2015 mpaka 2020 tu km vile Rais Idris Abdul Wakili kule Visiwani
kama asingetumia fujo na mabavu kuiba kura na kubandika mabango yake nchi nzima asingepita kama Kura zingepigwa kihalali
Mama yupo sahihi kabisa ni Rais wa Sita kwa awamu yake ya sita Full Stop
Mbona Rais Ali Hassan Mwinyi alitawala miezi tu na si mwaka na akawa Rais wa Tatu wa Awamu ya Tatu akamuachia Rais Idris Abdul Wakili naye akashika awamu moja tu bado huku Muungano akawa Rais wa Pili na km ni kwa Awamu Kambarage alitawala miongo mingapi maana unataka kufananisha na hii kanunu ya miaka 10
Awamu si lazima iende na Wabunge wake na Uchaguzi kwa miaka 10
 
Hajashinda. Kawa Rais kikatiba. Hoja yangu ni kuwa tupo kwenye utawala (awamu ya) wa Samia. Haijalishi kaingiaje. Utawala (awamu ya) wa Magufuli umeisha. Hata angeingia kwa mapinduzi, provided ni Rais mwingine....ni utawala mpya/awamu mpya.

Magufuli ameshakufa. Amkeni!
Wanajipa moyo atafufuka.

Jamani Watanzania wenzangu, rais wa JMT anaitwa Mama Samia Suluhu Hassan. Tumuunge mkono ili tuweze kuletewa maendeleo ya kweli tunayostahili
 
Hii habari ya Awamu ya ngapi, sioni hata umuhimu wake. Tunaweza kumjadili Rais Samia ni kwa kiwango gani anaendeleza "Umagufuli" na ni kwa kiwango gani tumeingia, katika "Usamia".

La msingi zaidi, anaheshimu Katiba na sheria? Anazingatia haki katika utendaji wa serikali yake, na haki za binadamu?

Na zaidi ya hayo yote anawajali watanzania? Mimi binafsi amenikosha sana kwa kuongelea kwa kina suala la kilimo. Na nimefarijika sana kumsikia akitamka kwamba demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari, na haki, ni msingi wa amani. Na pia kwamba atakutana na viongozi wa vyama vya siasa. Hiyo ni habari njema kabisa kwa afya ya taifa letu.
Mengi mazuri yanakuja. Mheshimiwa rais mama Samia Suluhu Hassan amejipanga kuwatumikia Watanzania kwa moyo wake wote. Tumpe ushirikiano ili tufaidike sote
 
Rais wako karuhusu kukosolewa kwa hoja, na anasoma haya mitandaoni.... wewe ni nani useme hana muda?

Ukiitwa mpumbavu uwe tu unashukuru.
Wewe kubwa la wapumbavu Mheshimiwa rais mama Samia Suluhu Hassan ameruhusu kukosolewa kwa mawaziri wake kwa HOJA.

Sio kama mnavyokosoa nyinyi.

Kama huyu muanzisha uzi mwehu anavyotaka kukosoa kosoa tu
 
Watu wa kawaida wakifariki wanaitwa MAREHEMU wakati watu hasa viongozi wa taifa wakifariki huitwa HAYATI

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Je kiongozi wa kitaifa aliye ligawa Taifa kwa siasa na kinafiki na ubaguzi, uhasama na chuki na yeye tumwite HAYATI afazali hilo MWENDAZAKE lililojipatia umaruufu

Kwa sababu hata hilo la MAREHEMU halimfai kwani lina dua njema ndani yake
 
Back
Top Bottom