Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Mkuu Generalist hebu rudi ukasome katiba ya JMT na uelewe kwa ufasaha make unajichanganya ktk maswala madogo kama haya.
Usichanganye mchakato wa upatikanaji wa rais na utawala wa wa rais.
SSH anapojinasibu kuwa ni rais wa awamu ya sita, anamaanisha kwamba ni mtawala wa sita ktk uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alipoingia madarakani, ilimpendeza kuendelea na baraza la mawaziri la mtangulizi wake na yupo halali kisheria. Na haimaanishi kwamba hata angevunja baraza, basi na Bunge lingevunjwa.
Katiba yetu ingekuwa inaruhusu Rais asitokane na chama chochote cha siasa, haya mambo uliyonena i.e katiba ya chama etc yasingekuwepo.
Kwahiyo kwa ujumla na kifupi ni kwamba mada yako inaongelea zamu za utawala wa nchi kwa mjibu wa katiba na si mchakato wa uchaguzi mkuu kumpata rais.
Inaonesha wazi somo la Urai/Civics lilikupiga chenga au mwenzetu elimu yako ya upili uliipatia Mogadishu??!!