Hii inauma jameni - Dongo Kundu

Aki ya nani kutazama hiyo video hadi mwisho ni maumvu makali sana kwa mazombi, mamayoooo!! Mombasa hivi karibuni itaipikua Dar, hazitaendelea kuwa level moja kwa muda mrefu.
 
Bro amka kwenye ndoto yako Kali. Mombasa tayari imewashinda kwenye Port na barabara sijui nini kingine unataka zaidi ya hapo.
Niamke kwenye ndoto Ulisikia Mombasa siifahamu au,
Au Unafikiri kila mtu anajifungia kibera.
 
Niamke kwenye ndoto Ulisikia Mombasa siifahamu au,
Au Unafikiri kila mtu anajifungia kibera.
Umekurupuka kwa kutoa POVU 😁😁 ungejibu kuwa unajua Mombasa Port Ni kubwa na pia Mombasa Kuna dual carriageway isiokuwepo Dar es salaam. Hapo naona hujakataa Ila umehamishia goli Kibera πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umekurupuka kwa kutoa POVU 😁😁 ungejibu kuwa unajua Mombasa Port Ni kubwa na pia Mombasa Kuna dual carriageway isiokuwepo Dar es salaam. Hapo naona hujakataa Ila umehamishia goli Kibera πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alistahili kujibiwa vile ndio maana nikamjibu vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…