Hii inauma jameni - Dongo Kundu

Hii inauma jameni - Dongo Kundu

Aki ya nani kutazama hiyo video hadi mwisho ni maumvu makali sana kwa mazombi, mamayoooo!! Mombasa hivi karibuni itaipikua Dar, hazitaendelea kuwa level moja kwa muda mrefu.
 
Wakilink hizi bridge na ile ya Likoni, we can officially forget DAR because South coast will never be the same again.
Mkuu unaijua hii [emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_2019-11-09-08-45-05.jpeg
 
Bro amka kwenye ndoto yako Kali. Mombasa tayari imewashinda kwenye Port na barabara sijui nini kingine unataka zaidi ya hapo.
Niamke kwenye ndoto Ulisikia Mombasa siifahamu au,
Au Unafikiri kila mtu anajifungia kibera.
 
Umekurupuka kwa kutoa POVU 😁😁 ungejibu kuwa unajua Mombasa Port Ni kubwa na pia Mombasa Kuna dual carriageway isiokuwepo Dar es salaam. Hapo naona hujakataa Ila umehamishia goli Kibera 😂😂😂
Alistahili kujibiwa vile ndio maana nikamjibu vile.
 
Back
Top Bottom