Hii inawahusu wanaume wote wenye haiba za kike kike

Hili la kutokuoga ukae unanuka kama beberu ni asili ya kabila lenu huko kwenu Kongwa na wala halina uhusiano na uanaume.
 
Yani uko ndio pabaya zaidi...nikionaga tu yale maji basi kizunguzungu nitakachokipata sio cha nchi hii
Umenishinda Tabia....
Twende kwenye garden za watoto tukabembee.... Me sitaki uchague sehemu za meeting utanifilisi... [emoji23] [emoji23]
 
Umenishinda Tabia....
Twende kwenye garden za watoto tukabembee.... Me sitaki uchague sehemu za meeting utanifilisi... [emoji23] [emoji23]
Weh! Yani uko ndio pabaya zaidi....una pesa za kulipia uharibifu?????maana kitendo cha kuweka mwili wangu kwenye bembea na hizi kilo..guess nini kitakachofuata...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee...hizi simu kuruhusiwa mashuleni imekua tabu sana
 
Namba 3,6,9,hauko sahihi sana,
Tamthilia kama telemundo,ni hoby,kama wengine wanavyopenda mpira,hata wapo wanawake wanapenda kuchek soka,
Neno kuitana wangu,nilianza kulisikia tangu 96,kabla hata ya ujio wa smart phone bongo,shule Moja ya bording huko mbeya vijijini,tulikuwa tunawatambia wanafunzi wenyeji,kwa kuzungumza kiswahili cha mji,cha Uzalamuni,cha ki chekbob,sio hiki cha kwenu cha wapaka poda,
 
We nawe peleka utoto wako huko nyie ndo wanukaa pum** hiyo namba 40hapa mjini unaachaje kuoga hata mara mbili kwa siku???we na unayemlala wote wanuka shombo mi mwanaume asiyeogaa namuonaga kama budege
Kweli leo nmekanyaga menstrual blood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…