goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Basi twende KFC posta ila hatuli tunakunywa maji ya baridi jua ni Kali.[emoji23][emoji23][emoji23] naogopa panton..alafu nina aleji na shombo la samaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi twende KFC posta ila hatuli tunakunywa maji ya baridi jua ni Kali.[emoji23][emoji23][emoji23] naogopa panton..alafu nina aleji na shombo la samaki
Uwiiii..maji ya baridi ndio kabisaaaaa..nikinywa navimba mwili mzimaBasi twende KFC posta ila hatuli tunakunywa maji ya baridi jua ni Kali.[emoji23]
Kheee... Vyote utaki basi twende kijiji beach tukimbizane na kuchezea maji... [emoji23]Uwiiii..maji ya baridi ndio kabisaaaaa..nikinywa navimba mwili mzima
Kwani ni mwanamme huyo?Wana Dar es Salaam View attachment 742007
Yani uko ndio pabaya zaidi...nikionaga tu yale maji basi kizunguzungu nitakachokipata sio cha nchi hiiKheee... Vyote utaki basi twende kijiji beach tukimbizane na kuchezea maji... [emoji23]
Umenishinda Tabia....Yani uko ndio pabaya zaidi...nikionaga tu yale maji basi kizunguzungu nitakachokipata sio cha nchi hii
Weh! Yani uko ndio pabaya zaidi....una pesa za kulipia uharibifu?????maana kitendo cha kuweka mwili wangu kwenye bembea na hizi kilo..guess nini kitakachofuata...Umenishinda Tabia....
Twende kwenye garden za watoto tukabembee.... Me sitaki uchague sehemu za meeting utanifilisi... [emoji23] [emoji23]
Kujiita duke ni ushogaMwanaume unaweka dawa kwenye nywele hizo ni tabia
za kike
Wew unaona ni kama nnKwani ni mwanamme huyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya mleta mada, umeshamaliza? Nenda sasa kaoge, ujipulizie pafyumu, vaa sketi yako na viatu vya mchuchumio, nenda Ilala Boma kupeleka kesi ya kutekelezwa mtoto wako. Shwaini wewe, huna mawazo ya kiume hata chembe japo wajidai ni mwanaume! La sivyo, basi "mtoto si riziki wewe".
Namba 3,6,9,hauko sahihi sana,1. _*Mwanaume unaandika*_ *_text/unajibu "k, pw, thx" au unaandika "jomooni, jamoni"_*
*_Happy women's day to you!_*
2. _Mwanaume unapiga selfie umeng'ata lips!_
_Happy women's day to you!_
3. *_Mwanaume unaangalia Nirvana, wanawake live,_* *_telemundo na shilawadu.._*
*_Wewe pia tukutakie Happy_* *_women's day to you!_*
4. _Mwanaume unaoga oga sana kama Dada zako( Mara 3 na +) kwa siku,au unakaa bafuni nusu saa!_
_Happy women's day to you!_
5. *_Mwanaume unajichubua, una dressing table kabisa.. Unajua macream yote ya kimama mama.._*
*_Wewe ni jipu!_*
*_Happy women's day to you!_*
6. _Mwanaume unachat na msela afu unamwita "wangu/my"_
_Tabia za kishogalizing hizi.._
_Happy women's day to you!_
7. *_Mwanaume unagombania siti kwenye daladala halafu mwanamke amesimama,_*
*_Aisee biggest Happy women's day to you!_*
8. _Mwanaume unaogopa mende, panya, Giza, au kulala mwenyewe!_
_Happy women's day to you!_
9. *_Mwanaume hubet, haushabikii soka, wala mieleka, wala ngumi, Hata ukipishana na tetemeko la ardhi hugeuki!_*
*_Wewe ni mwanaume hewa!_* happy woman's day
10. _Mwanaume uko too submissive kwa mkeo.. Yaan_ _mke ndio anakuamulia cha kufanya..umeshikiwa akili!_
_Unalelewa!_
_Happy women's day to you!_
Sawa kabisaSamahani, nmeitoa kwa wenzio ILALA BOMA
Loooh budege tena
Wwe ni muhenga mwenzangu
Hiv bado anatenda za ile kaz
Loooh budege tena
Wwe ni muhenga mwenzangu
Hiv bado anatenda za ile kaz