hagau
JF-Expert Member
- Dec 17, 2023
- 696
- 2,501
Dalilo hizi huwa kinaraUshuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
1. Rashes
2. Tezi na tonses
3. Mafua fua
4. Kohoma cha hapa na pale
Ikimalizika vitapoa ila sasa hapo vinakuwa viko jikon vyenyewe kwa vyenyewe kufanya mapenzi na kuzaliana zaiid.
NB. Pima upate majibu ya uhakika yamkin uko mzima kabisa wa afya, ila ukipima mara ya kwanza rudia tena baada ya miezi mitatu. Mungu akuepushe ndugu yangu