Hii inaweza kuwa dalili kwamba nimepata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

HIV rashes kwenye hatua za mwanzon kabisa kuanzia wiki ya pili , hutokea usoni, au kifuani au mikononi au viganjani na huambata na muwashoo.

Hata hivo Dalili hiyo peke haitoshi, Kwan baadhi ya magonjwa yaambukizwayo Kwa ngono zembe ,pia Huwa Dalili hizohizo za awali.
 
mi rashez zimetokea mwilini na mkono mmoja zinawasha balaa
 
Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV

Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
Utavuna ulichopanda , pamoja na misaada kusitishwa bado husikii?

Nenda kapime usitujazie server
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…