Hii inaweza kuwa dalili kwamba nimepata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

Hii inaweza kuwa dalili kwamba nimepata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?

e5b564b6-23e0-4638-b493-d1b964ed8027_16x9_600x338.jpg

Halafu USAID wamezuia misaada.. Sasa sijui itakuwaje..
Mkuu ungekuwa na clip ya hawa jamaa ktk tukio hili jamaa angefarijika
😂😂😂
 
Ukiwa unaumwa, ukawa na hofu na ugonjwa flani na uka google au ukaulizia dalili kama hivi,
Kila utakachosoma utaona ni mule mule..

Anyway Asante, uzi wako umenifanya nighairi nilikokua naenda.
 
Ukiwa unaumwa, ukawa na hofu na ugonjq flani na uka google au ukaulizia dalili kama hivi,
Kila utakachosoma utaona ni mule mule..

Anyway Asante, uzi wako umenifanya nighairi nilikokua naenda.
Yaan mwanangu noma
 
Back
Top Bottom