Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hawa wanye nao itakuwa wanapiga sarakasi nini wakati wa tendo ndo wanaupata?Wasiwasi wako tu. HIV sio rahisi kupata kama watu wengi wanavyofikiri
aiseeIngekuwa unatumia Kijiti, ningesema uachane nacho hakikufai
Maana akili zako unazijua mwenyewe ๐
unavo nitia moyo sasa๐๐Wasiwasi wako tu. HIV sio rahisi kupata kama watu wengi wanavyofikiri
hayaUmeenda na maji
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃIla watu wanamajibu loooh.....Kunywa sijui pep ndio wanaita ebu waulize wazinzi wenzio watakuambia kabla ya masaa 72 uache uwoga
YaanHawa wanye nao itakuwa wanapiga sarakasi nini wakati wa tendo ndo wanaupata?
๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃIla watu wanamajibu loooh.....
Mkuu ungekuwa na clip ya hawa jamaa ktk tukio hili jamaa angefarijika
Halafu USAID wamezuia misaada.. Sasa sijui itakuwaje..
Ashaombwa tayari๐คฃUtaombwa picha...Jiandae kwa hilo..
unavo nitia moyo sasa๐๐
Afanye maamuzi kwa kutumia kichwa cha chini๐Mzeya changamka leo ndio siku yenyewe ya kuambukiza wengine fanya fasta bro usife peke yako kizembe
mingi tu nduguUna miaka mingapi?
yaanAfanye maamuzi kwa kutumia kichwa cha chini๐
mambo yakotiGO live it ,love it
๐๐๐Mkuu ungekuwa na clip ya hawa jamaa ktk tukio hili jamaa angefarijika
๐๐๐
Yaan mwanangu nomaUkiwa unaumwa, ukawa na hofu na ugonjq flani na uka google au ukaulizia dalili kama hivi,
Kila utakachosoma utaona ni mule mule..
Anyway Asante, uzi wako umenifanya nighairi nilikokua naenda.