Hii inawezekana Tanzania tu, si mahali pengine popote duniani

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594


Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake.

Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama Malaika wa amani, na hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo.

Picha hii inafikirisha sana.
 
Hao wenye mitutu wamesimama mahali kusikojulikana na mitutu yao ipo mahali pasipojulikana na kimsingi wao hawajulikani.
 
"....
hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo."

Ukiwa sehemu yenye vioo, au picha yenye vioo, ni vizuri kuwa unaviangalia kutambua nafasi ya wasioonekana.....
 
Sheik Ponda ndiye anastahili kuwa M/kiti wa amani awe anakaa na maaskofu sio mnafiki
 
RC ni nusu dini nusu serikali hapo yupo na viongozi wenzake wa serikali,ndio maana kawapuuza walokole na madhehebu mengine,Vatican ni dubwasha kubwa linalotisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…