Hii inawezekana Tanzania tu, si mahali pengine popote duniani

Hii inawezekana Tanzania tu, si mahali pengine popote duniani

RC ni nusu dini nusu serikali hapo yupo na viongozi wenzake wa serikali,ndio maana kawapuuza walokole na madhehebu mengine,Vatican ni dubwasha kubwa linalotisha
Wacha uchochezi mkuu! Mama atakutana na CCT muda si mrefu!
 
View attachment 1831639

Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake.

Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama Malaika wa amani, na hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo.

Picha hii inafikirisha sana.
Mstari wa msingi: Zaburi 127:1-2 “Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi”
 
Back
Top Bottom